Martin George
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 1,695
- 1,470
amesemajeNimemsikiliza mh Turkey kupitia kipindi cha Clouds 360 akielezea namna alivyosaidia upatikanaji wa ndege iliyompeleka Lissu Nairobi. Amekuwa mkweli, hakufanya siasa na amenishawishi niamini kuwa pia uislamu ni dini ya amani. Mungu akubariki mh Turkey kadhalika aendelee kumponya mh Lisu, amen!
Alidhamini malipo ya ndege " Mali kauli" ila CDM wakatoa mpunga baadae. Simple.amesemaje
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] yule ni mungu wa bunge hagusiki neno lake ndo mwishoAliyedanganya apelekwe kamati ya BUNGE YA MAADILI.
Tundu lisu akija aache kubwatuka mdomo uumba .nakumbuka akiwa BUNGENI ni huyu tundulisu huwa anawatukana hao jamaa kwa kuwaita MACCM haya MACCM haya hayajielewi lakin mungu si athman MACCM yamemsaidia lakin huyu MALAIKA WAKE wapo CDM sijaona walichokifanya zaidi natamko tuNimemsikiliza mh Turkey kupitia kipindi cha Clouds 360 akielezea namna alivyosaidia upatikanaji wa ndege iliyompeleka Lissu Nairobi. Amekuwa mkweli, hakufanya siasa na amenishawishi niamini kuwa pia uislamu ni dini ya amani. Mungu akubariki mh Turkey kadhalika aendelee kumponya mh Lisu, amen!
Umeshindwa kujenga hoja bila kuingiza imani yake.?Nimemsikiliza mh Turkey kupitia kipindi cha Clouds 360 akielezea namna alivyosaidia upatikanaji wa ndege iliyompeleka Lissu Nairobi. Amekuwa mkweli, hakufanya siasa na amenishawishi niamini kuwa pia uislamu ni dini ya amani. Mungu akubariki mh Turkey kadhalika aendelee kumponya mh Lisu, amen!
Hakuna aliyedanganya sema huku Tanganyika tunafikiri kuwa mwanasiasa mahiri ni kujivua utu wako. Wakati Turkey anamsaidia Lisu ktk hali ya ubinadamu wengine walitaka kuligeuza tukio lile liwe la kisiasa!Aliyedanganya apelekwe kamati ya BUNGE YA MAADILI.
Lowasa..lowasaTundu lisu akija aache kubwatuka mdomo uumba .nakumbuka akiwa BUNGENI ni huyu tundulisu huwa anawatukana hao jamaa kwa kuwaita MACCM haya MACCM haya hayajielewi lakin mungu si athman MACCM yamemsaidia lakin huyu MALAIKA WAKE wapo CDM sijaona walichokifanya zaidi natamko tu
Ndio hapo hoja ilipojikita, we unadhani pale bungeni mwenye connections ni Turkey peke yake?!!! Mwenyekiti mtemi Chenge unadhani hana influence....... Alichofanya Turkey ni ' zaidi' ya siasa!Umeshindwa kujenga hoja bila kuingiza imani yake.?
Kilichomsukuma Turkey si uccm wake bali ubinadamu wake!Tundu lisu akija aache kubwatuka mdomo uumba .nakumbuka akiwa BUNGENI ni huyu tundulisu huwa anawatukana hao jamaa kwa kuwaita MACCM haya MACCM haya hayajielewi lakin mungu si athman MACCM yamemsaidia lakin huyu MALAIKA WAKE wapo CDM sijaona walichokifanya zaidi natamko tu
Uislamu ni dini ya amani isipokuwa kuna manyang'au yanaitumia vibaya!Nimemsikiliza mh Turkey kupitia kipindi cha Clouds 360 akielezea namna alivyosaidia upatikanaji wa ndege iliyompeleka Lissu Nairobi. Amekuwa mkweli, hakufanya siasa na amenishawishi niamini kuwa pia uislamu ni dini ya amani. Mungu akubariki mh Turkey kadhalika aendelee kumponya mh Lisu, amen!
Na kinachomsukuma Msigwa kuwa chadema iligharamia ni nini?? Ni ubinadamu au??Kilichomsukuma Turkey si uccm wake bali ubinadamu wake!
Yaani kuwa mtu kati kamsaidiaje kwani kalipa hiyo ndege yyau huwa hujitambuiTundu lisu akija aache kubwatuka mdomo uumba .nakumbuka akiwa BUNGENI ni huyu tundulisu huwa anawatukana hao jamaa kwa kuwaita MACCM haya MACCM haya hayajielewi lakin mungu si athman MACCM yamemsaidia lakin huyu MALAIKA WAKE wapo CDM sijaona walichokifanya zaidi natamko tu
Ndiyo inayomfanya spika atambe kwamba malipo ya ndege yalifanywa na mwanaccm?Alidhamini malipo ya ndege " Mali kauli" ila CDM wakatoa mpunga baadae. Simple.