Salim Kikeke anatumiwa na CCM

Salim Kikeke anatumiwa na CCM

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Akiwa karibu kabisa na uso wa Mbowe, Salim Kikeke amesikika akimuuliza mwenyekiti, nanukuu "watu wako wapi, mbona hamna kabisa watu wa kuandamana" bila kumumunya maneno gwiji la demokrasia Afrika mh Mbowe akajibu "tutaandamana na nyinyi(waandishi)".
Kulikuwa na haja gani ya Kikeke kuuliza swali kama hilo labda kama anatumiwa na CCM?
 
Ulitaka amuulize swali gani wewe msukule wa mzee Mbowe?
 
Akiwa karibu kabisa na uso wa Mbowe, Salim Kikeke amesikika akimuuliza mwenyekiti, nanukuu "watu wako wapi, mbona hamna kabisa watu wa kuandamana" bila kumumunya maneno gwiji la demokrasia Afrika mh Mbowe akajibu "tutaandamana na nyinyi(waandishi)".
Kulikuwa na haja gani ya Kikeke kuuliza swali kama hilo labda kama anatumiwa na CCM?
Ana hoji facts si kutumika, you should know muandishi kama salim hana upande, so ata hoji yoyote kwa facts
 
Kikeke hana chama alikuwa sahihi kuuliza
 
Ana hoji facts si kutumika, you should know muandishi kama salim hana upande, so ata hoji yoyote kwa facts
Na alihoji vizuri na Mbowe kakiri kuwa hana watu kuwa pale kweli hana watu anategemea tu waandishi wa habari labda ndio waandamane naye kwenye maandamano

Kikeke ni nguli wa kuhoji maswali na Mbowe kakiri indirectly kuwa watu hana wa maandamano
 
Akiwa karibu kabisa na uso wa Mbowe, Salim Kikeke amesikika akimuuliza mwenyekiti, nanukuu "watu wako wapi, mbona hamna kabisa watu wa kuandamana" bila kumumunya maneno gwiji la demokrasia Afrika mh Mbowe akajibu "tutaandamana na nyinyi(waandishi)".
Kulikuwa na haja gani ya Kikeke kuuliza swali kama hilo labda kama anatumiwa na CCM?
Mbona ni swali la kawaida tu maana kweli watu hawakuwepo.
 
Akiwa karibu kabisa na uso wa Mbowe, Salim Kikeke amesikika akimuuliza mwenyekiti, nanukuu "watu wako wapi, mbona hamna kabisa watu wa kuandamana" bila kumumunya maneno gwiji la demokrasia Afrika mh Mbowe akajibu "tutaandamana na nyinyi(waandishi)".
Kulikuwa na haja gani ya Kikeke kuuliza swali kama hilo labda kama anatumiwa na CCM?
Khaaa sasa ulitaka aulizwe swali gani? haya ndio maswali sasa
 
Akiwa karibu kabisa na uso wa Mbowe, Salim Kikeke amesikika akimuuliza mwenyekiti, nanukuu "watu wako wapi, mbona hamna kabisa watu wa kuandamana" bila kumumunya maneno gwiji la demokrasia Afrika mh Mbowe akajibu "tutaandamana na nyinyi(waandishi)".
Kulikuwa na haja gani ya Kikeke kuuliza swali kama hilo labda kama anatumiwa na CCM?

Alikuwa na maana polisi hawakuwa na sababu ya kumkamata yeyote kwa kisingizio cha maandamano
 
Back
Top Bottom