Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Weledi ni janga la taifa kwa waandishi. Ndiyo maana siku zote hawezi kuhoji vitu vya msingi.Mnapenda kuulizwa mnayopenda tu, yeye hajaona waandamanaji kwani akiuliza ni kosa??
Labda Mbowe na watu wake wana namna au maana nyingine ya maandamano.
Kwa mazingira yale kama mwandiahi huwezi kuuliza lile swali.