Salim Kikeke anatumiwa na CCM

kilichokuuma zaidi hapo,
ni swali la kikeke au jibu la Mbowe gentleman?

Na wakati huo wewe ulikua wap?🐒
 
Mzee unampangia hadi mwandishi swali la kuuliza ili ikufurahishe wewe aise chadema mna matatizo makubwa sana napata picha siku mkikamata dola kama akili zenyewe ndio hizi
 
Ilo ni swali la kuchokoza mada , sio anatumika mkuu. Tunaanzanga low key uku tukipanda
 
Salim Kikeke ni division four failure, ya mwaka 1988 , Makumira secondary.
Msamehe Bure!
 
Kuna Mwandishi yeyote anaejitambua anaweza kubali kutumiwa na Wapinzani? Afe njaa?

Mbona crown media inampamba Mama kama kawaida?

Mwisho kwani Chadema si mna vyombo vyenu kama Jambo tv,Mwanzo plus na kina Mawaio/Mwanahalisi mbona CCM hailalmiki?
 
 

Attachments

  • 20240923_163338.jpg
    83 KB · Views: 1
Mbowe kawapiga bao la tobo!!!!

Hi mechi Mbowe ni mshindi

Wamelala nacho!!!
Acha kujifariji kamandaa.

Sasa bao liko wapi pale ?

Tanzania ina vituko sana hii nchi,wana CCM wana vituko,CHADEMA NAO wana vituko ,wasiokuwa wana siasa nao wana vituko,yaaani tafrani.
 
mwandishi wa habari mkubwa,mzoefu na mahiri kama salim kikeke hakutakiwa kuuliza swali jepesi, chokozi na dhaifu namna ile! alitakiwa aulize hivi "mh. Mbowe, mlitangaza maandamano yenu ya amani yatafanyika leo,lakini kwa hapa tulipo na maeneo mengi nchini watu hawajitokezi,je unaweza kutuambia nn kimechangia kukwama au kuahrishwa kwa maandamano haya?".
 
hivi unataka kumpangia muandishi maswali ya kuulza? dah sijui watanzania nani alituroga .
 
hivi unataka kumpangia muandishi maswali ya kuulza? dah sijui watanzania nani alituroga .
Misukule ya mzee Mbowe hakika ni shida ila nchi inavuna kilichopandwa na huyu mzee. Kalisha vijana ujinga wa kupinga kila kitu matokea yake wamabaki na akili sifuri.
 
Hapo ndipo akili yako ilipoishia, ulitaka ahoji vile unavyopenda wewe?
 
Tanzania bwana huwa hamuamini kama watu wako neutral. jamaa anafanya kazi yake vizuri.
 
Tanzania bwana huwa hamuamini kama watu wako neutral.
Neutral? What a shame!
Remaining neutral sends a message that we condone the behaviour, and it perpetuates the problem.
We are responsible for speaking up and acting when we witness something morally wrong.
Neutrality
is not an option in the face of injustice.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…