Salim Kikeke anatumiwa na CCM

Mnapenda kuulizwa mnayopenda tu, yeye hajaona waandamanaji kwani akiuliza ni kosa??
Labda Mbowe na watu wake wana namna au maana nyingine ya maandamano.
Weledi ni janga la taifa kwa waandishi. Ndiyo maana siku zote hawezi kuhoji vitu vya msingi.

Kwa mazingira yale kama mwandiahi huwezi kuuliza lile swali.
 
Mwandishi wa habari anafaa kuwa neutral anapokuwa anawasilisha habari au anafanya mahojiano.
Hivyo atauliza maswali yanayikupendeza na yasiyokupendeza.
 
Swali zuri na ndio ukweli wa mambo, halina uhusiano wowote wa Kikeke kutumiwa na CCM ulitaka aulizeje sasa?
 
niache kupambania ugal na watotot nikaandamane. hio ngumu sana. ugali wa watoto na amani ndio vipaumbele
 
Ila mimi nimependa jibu la Mh Mbowe.
 
Swali zuri mbowe ana mambo yake
 
Ila mimi nimependa jibu la Mh Mbowe.
Kajibu ukweli kuwa hana watu wa kuandamana naye

Lile swali la Kikeke lilikuwa goli la penalty short and clear

Mbowe na division zero yake kaingia mtego kukiri kuwa waandamanaji hamna

Nimependa upigaji swali wa Kikeke umekakamaa hasa

Yuko vizuri kwenye kuhoji
 
Sasa ulitaka aulize ngedere wako wapi ikiwa palipaswa kuwa na watu na hawakuwepo.

Ipo siku Watanzania wataona umuhimu wa Mbowe na pengine itakuwa too late.
 
Salim Kikeke ni division four failure, ya mwaka 1988 , Makumira secondary.
Msamehe Bure!
Division 1 au 0 ya Tanzania kule BBC ambapo ndipo kumemtengenezea jina zote zipo sawa.Vyeti vyetu ni sawa na makaratasi ya kufungia chapati.
 
Keyboards warriors mna matatizo sana! Bwana wenu kawaita kwenye maandamano mmegoma kuingia barabarani alafu mnaendeleza hoja zenu nyuma ya keybords. Mkatulize vishundu sasa tr 23 Septemba imepita
 
Ahhhaaa.
CHADEMA imejaa uhuni mtupu.
Wenye akili zao hawawezi kuacha kazi wakaandamane.
Mbowe na familia yake wameshiba ni mamilionea, sisi makabwela hatukubali kutumiwa.
 
Salim Kikeke ni division four failure, ya mwaka 1988 , Makumira secondary.
Msamehe Bure!
Kikeke division four ya Makumira secondary Kamzidi Mbowe ,Mbowe ni Divisio zero ya Ihungo secondary

Ndio maana Kikeke division four kamtandika swali Mbowe division zero katoka kapa

Aliyekuzidi division usicheze naye .Leo Kikeke division four kadhibitisha hilo kuwa division four ni kubwa kuliko division zero hata kwa uwezo wa maswali
 
Hakuna Mtanzania wa kuandamana baada ya Mkwara uliopigwa na Serikali

Watanzania ni tofauti na Wakenya na wasomali

Watanzania ni Waoga
 
Nitakuwekea matokeo ya Salim kikeke
 
Weledi ni janga la taifa kwa waandishi. Ndiyo maana siku zote hawezi kuhoji vitu vya msingi.

Kwa mazingira yale kama mwandiahi huwezi kuuliza lile swali.
Kwanini asiulize?
Kama watu wameandamana mahali pengine Kikeke hapaswi kujua??
 
Mimi naona media yake imejitahidi kucover wengine waliufyata kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…