Salim Kikeke hivi Sweta lako huwa husikiii Joto?

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
10,771
Reaction score
14,129


GTs naomba kuuliza hivi huyu ndugu Kikeke a.k.a muingereza mweusi huwa hasikii joto na hilo sweta lake?? Maana kila anakoenda na li sweta lake, je anadhani bado yupo uingereza?????? Hebu atupe majibu maana ninavyoelewa walioishi kwenye baridi kila sehemu wakienda kwa Tanzania ni bukta na tshirt ila Mr. UK yeye na sweta lake tu.
 
Una uhakika gani kama picha anazopost ni za sasa? Au huwa anakuwa live? Maana inawezekana anatumia picha za zamani akiwa london au huenda anakuwa sehemu yenye baridi kwa wakati huo.
 
Gampera
 
Kama ww ni wakiume pole sana mkuu.
 
Moraa ya posta kuna watu wanavaa suti kila siku.
Namkumbuka mwalimu Mkandawile wa enzi zile elimu ilikuwa mgogoro. Yule mwalimu kila siku alivaa SUTI.
 
Ndiyo iwe kila siku sweta hilo hilo, rangi hiyo hiyo? Halinuki jasho?
unajuaje kama ana sweta hilo hilo moja tu? kama anayo saba au labda kumi!

kuna jamaa mmoja alikuwa rafik wa karibu alitoka huko majuu akaja bongo watu tukawa tunamuona kila siku na shati moja tu habadirishi alifululiza kama wiki mbili na lishati lake, wabongo na umbea tukaitana ili tusemezane kulikoni kwa bwana mkubwa katoka majuu ana shati moja tu! siku ya siku ilifika jamaa alikuwa anafua tukaona akitoa rundo la shati ya aina moja na rangi ikiwa moja, kumbe jamaa alikuwa na mashati ya aina moja kama kumi hivi! wabongo tulichoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…