Salim Kikeke hivi Sweta lako huwa husikiii Joto?

View attachment 2855658

GTs naomba kuuliza hivi huyu ndugu Kikeke a.k.a muingereza mweusi huwa hasikii joto na hilo sweta lake?? Maana kila anakoenda na li sweta lake, je anadhani bado yupo uingereza?????? Hebu atupe majibu maana ninavyoelewa walioishi kwenye baridi kila sehemu wakienda kwa Tanzania ni bukta na tshirt ila Mr. UK yeye na sweta lake tu.
Kweli tz jobless ni janga la kitaifa
 
The smartest person has got no whether.Bilashaka linamfanya anakua smart sana,hivyo anaona akiliacha u-smart wake utapungua.
 
View attachment 2855658

GTs naomba kuuliza hivi huyu ndugu Kikeke a.k.a muingereza mweusi huwa hasikii joto na hilo sweta lake?? Maana kila anakoenda na li sweta lake, je anadhani bado yupo uingereza?????? Hebu atupe majibu maana ninavyoelewa walioishi kwenye baridi kila sehemu wakienda kwa Tanzania ni bukta na tshirt ila Mr. UK yeye na sweta lake tu.
A GENTLEMAN HAS GOT NO WEATHER.
 
Samahani mkuu, kwani akivaa au asipovaa tatizo liko wapi, ni maamuzi yake, we unahusikaje hapo?
 
View attachment 2855658

GTs naomba kuuliza hivi huyu ndugu Kikeke a.k.a muingereza mweusi huwa hasikii joto na hilo sweta lake?? Maana kila anakoenda na li sweta lake, je anadhani bado yupo uingereza?????? Hebu atupe majibu maana ninavyoelewa walioishi kwenye baridi kila sehemu wakienda kwa Tanzania ni bukta na tshirt ila Mr. UK yeye na sweta lake tu.
Acha uboya wewe au una k
 
Sweta lake,, kanunua Kwa pesa yake,,anavaa Kwa ajili yake,sasa wewe ni nini inauma asee??
 
Back
Top Bottom