Salim Kikeke hivi Sweta lako huwa husikiii Joto?

Salim Kikeke hivi Sweta lako huwa husikiii Joto?

Moraa ya posta kuna watu wanavaa suti kila siku.
Namkumbuka mwalimu Mkandawile wa enzi zile elimu ilikuwa mgogoro. Yule mwalimu kila siku alivaa SUTI.
Mkandawile mkari wa Chemistry na Biology akianza kukufundisha utafikir anakuhadithia Hadith moja tamu.
 
Back
Top Bottom