Kweli tz jobless ni janga la kitaifaView attachment 2855658
GTs naomba kuuliza hivi huyu ndugu Kikeke a.k.a muingereza mweusi huwa hasikii joto na hilo sweta lake?? Maana kila anakoenda na li sweta lake, je anadhani bado yupo uingereza?????? Hebu atupe majibu maana ninavyoelewa walioishi kwenye baridi kila sehemu wakienda kwa Tanzania ni bukta na tshirt ila Mr. UK yeye na sweta lake tu.
Unateseka na sweta la kikeke ukiwa wapi? Huna mume wa kumfulia nguo zake?Ndiyo iwe kila siku sweta hilo hilo, rangi hiyo hiyo? Halinuki jasho?
ChukiKujiendekeza tu kwa yeye aliyeishi UK
A GENTLEMAN HAS GOT NO WEATHER.View attachment 2855658
GTs naomba kuuliza hivi huyu ndugu Kikeke a.k.a muingereza mweusi huwa hasikii joto na hilo sweta lake?? Maana kila anakoenda na li sweta lake, je anadhani bado yupo uingereza?????? Hebu atupe majibu maana ninavyoelewa walioishi kwenye baridi kila sehemu wakienda kwa Tanzania ni bukta na tshirt ila Mr. UK yeye na sweta lake tu.
Acha uboya wewe au una kView attachment 2855658
GTs naomba kuuliza hivi huyu ndugu Kikeke a.k.a muingereza mweusi huwa hasikii joto na hilo sweta lake?? Maana kila anakoenda na li sweta lake, je anadhani bado yupo uingereza?????? Hebu atupe majibu maana ninavyoelewa walioishi kwenye baridi kila sehemu wakienda kwa Tanzania ni bukta na tshirt ila Mr. UK yeye na sweta lake tu.
Hizi anazozileta ni tabia za Facebook na Instagram,kwanini amfuatilie mtu kiasi hichoWewe utakuwa mlevi wa Salim Kikeke, maana unafuatilia sana picha zake hadi kujua anavaa masweta kila kwenye picha, kitu ambacho kawaida mtu hawezi ku notice
Haya Mudawote njoo upate shule ya bure bila ada hapa.Kavaa sweatshirt,
Sio sweater.