jameson567
JF-Expert Member
- Mar 14, 2018
- 536
- 3,289
Ukileta thread weka maelezo yote, ya Kikeke na ya Mrema, tunaosoma thread yako tuelewe. Unaanzisha Uzi watu waanze kutafuta alichosema Mrema kulinganisha na Kikeke ndo nini!?, haraka ilikuwa ya nini!?,toa maelezo ya Mrema na Kikeke watu wajadili vinginevyo unaonekana mbabaishaji. Au wewe ndo Mrema nini!?Usiwe bwege bwana! Nawe tafuta nini alisema Mrema uje uone kwa nini nasema Kikeke anamlisha maneno Mrema ambayo hajasema?
Awadh ndio nani?! Unamjua Salim undani wake?! Au unamchukulia poa?! Maji yaliyotulia usiyapime kina chake kwa miguu miwili 😊Yani Salim Kikeke akabadilisha muonekano wake yani anakaa na kufanana kama jambazi. Wamtumie Awadhi amshughulikie.
View attachment 3072300
Salama ana interview zake, hasa maswala ya Social + Entertinment anafanya vizuri sana.Niemirudia mara mbili sijaona alipokosea
Muandishi wa Habari ndo unapaswa uwe hivo
Uulize maswali makali ya kuchokonoa ili yachokonolewe!
Kuna umuhimu wa kujibiwa Kama Lissu alivyojibu,
Tanzania ya sasa inatakiwa mtu aulizwe hivo kwa kuchokonoa
Na interview zake uwa Ziko hivo hata alivyoenda kuhoji RPC alimbana maswali akajikanyaga
Kikeke na Odemba ndo nawasikiliza sasa na ageingia Salama Jabir hawa watu wako makin sana
Britanicca
Yaani kisa kauliza maswali yanayokwaza chama chalk basi anakua low!!?..nyie wavaa kombati mna shida sana
Ni jambazi tu.Awadh ndio nani?! Unamjua Salim undani wake?! Au unamchukulia poa?! Maji yaliyotulia usiyapime kina chake kwa miguu miwili 😊
Nimesikiliza, unaona kabisa kuwa Kikeke ana inclination fulani....Mkuu @Retirwengi hapa wanajadili kitabu kwa rangi ya cover, ni kweli Kikeke alimhoji Lissu inavyotakiwa. Lakini anapofikia kumlisha maneno Mrema tofauti na alivyosema ni kama anajenga ugomvi ambao haupo! Na hilo kwa msikilizaji kama Kasuku hawezi lielewa.
Maswali ya zile kauli za Msigwa, majibu yako clear lakini anashikilia katika mfumo wa kuwa Msigwa ni mkweli hapo lazima tumtofautishe na mwandishi mtumia weledi.
Maswali gani yanayoikwaza CCM ambayo kikeke hakuuliza wakati anamuhoji nani?..haina tatizo kama Kikeke atauliza maswali yanayowakwaza wapinzani.
..tatizo ni kwamba Kikeke haulizi maswali yanayowakwaza Ccm na serikali hata siku moja.
..wanahabari wanatakiwa waulize maswali magumu kwa pande zote, na sio kuwa vibaraka wa Ccm na serikali.
Acha ushamba.Salum Kikeke ni mmoja wa waandishi wa habari mahiri na wenye uwezo mkubwa wa kuhoji na kwa bahati nzuri kuwahi kwake kufanya kazi BBC kumesaidia kumpa jina.
Lakini baada ya kumfatilia jana katika mahojiano yake na Lissu mbona ghafla nimemuona ni mwandishi wa daraja la chini mno hawezi fikia viwango vya kina mzee Tido Mhando hata chembe! Kwa nini ameporomoka ghafla hivi?
Swali la nia ya kutaka kugombea Urais, Lissu kamjibu sahihi kabisa kikanuni ndani ya Chadema lakini Kikeke katakana kuwa mbona Mrema kaeleza hivi na vile na mbona Msigwa naye kasema vile!
Mtu yeyote makini atajua anachotafuta hapa ni kuonyesha kuna mgogoro wa kugombea ndani ya Chadema.
Hii siyo sifa njema (kutumika) kuhoji ili kutengeneza mtifuano nje ya mfumo.
Kikeke lazima ujitofautishe na watu kama Kitenge. Hao wanaweza kutumika kwa lolote hata kama litasababisha dhiki na vifo kwa wengine ili mradi wao wapate rasilimali za kuwatambia wengine. Hizo huwa za muda tuu. Au nawe umetamani maisha hayo.
Usikute umeshaingia kwenye mfumo! Ila if so, bye bye weledi.
View: https://www.youtube.com/live/e-IRCGgC0KQ?si=gPN9FJdhQfJf19dc
Maswali gani yanayoikwaza CCM ambayo kikeke hakuuliza wakati anamuhoji nani?
Angalia interview yake na Fatma Karume. Fatma alimfanya awe bumunda siyo mimi. Kwa watu wa level ya chini kama wewe Kikeke ni kama mungu mtu, ila kwangu, mwenye exposure na elimu, Kikeke ni wa kawaida sana. Anashindwa hata na TV online za mtaani za Kenya.Kikeke hawezi kuwa bumunda kisa kakukera,wewe ndiye bumunda
Hivi ili uwe na fikira finyi namna hii mnosomea wapi?Salum Kikeke ni mmoja wa waandishi wa habari mahiri na wenye uwezo mkubwa wa kuhoji na kwa bahati nzuri kuwahi kwake kufanya kazi BBC kumesaidia kumpa jina.
Lakini baada ya kumfatilia jana katika mahojiano yake na Lissu mbona ghafla nimemuona ni mwandishi wa daraja la chini mno hawezi fikia viwango vya kina mzee Tido Mhando hata chembe! Kwa nini ameporomoka ghafla hivi?
Swali la nia ya kutaka kugombea Urais, Lissu kamjibu sahihi kabisa kikanuni ndani ya Chadema lakini Kikeke katakana kuwa mbona Mrema kaeleza hivi na vile na mbona Msigwa naye kasema vile!
Mtu yeyote makini atajua anachotafuta hapa ni kuonyesha kuna mgogoro wa kugombea ndani ya Chadema.
Hii siyo sifa njema (kutumika) kuhoji ili kutengeneza mtifuano nje ya mfumo.
Kikeke lazima ujitofautishe na watu kama Kitenge. Hao wanaweza kutumika kwa lolote hata kama litasababisha dhiki na vifo kwa wengine ili mradi wao wapate rasilimali za kuwatambia wengine. Hizo huwa za muda tuu. Au nawe umetamani maisha hayo.
Usikute umeshaingia kwenye mfumo! Ila if so, bye bye weledi.
View: https://www.youtube.com/live/e-IRCGgC0KQ?si=gPN9FJdhQfJf19dc
Exposure inahusika nini na substances kwenye fikra za mtu!?..acha ushamba,mi natazama interviews CNN, BBC,al jazeera tangu una tongotongo,tangu mtangazaji wa hard talk hana mvi, christian amanpour binti na fareed zakaria hajaenda CNN,unamuita mtu bumunda kisa hafit your agenda!!..acheni ujinga na kombati zenuAngalia interview yake na Fatma Karume. Fatma alimfanya awe bumunda siyo mimi. Kwa watu wa level ya chini kama wewe Kikeke ni kama mungu mtu, ila kwangu, mwenye exposure na elimu, Kikeke ni wa kawaida sana. Anashindwa hata na TV online za mtaani za Kenya.
Sababu hapakuzungumzwa ukitakacho!?..wakati anamhoji Rais Samia.
Your writing does not show that you are a person capable of following meaningful interviews. I said I disrespected him because I heard him interviewing Fatma Karume, and he showed that he is not competent. He is overrated. If you had any sense, you would go to YouTube and listen to that interview. A journalist should not be as timid as he showed in those interviews. For your information, I am not a member of any political party, but I cannot refrain from questioning the foolish things being done by journalists in TanzaniaExposure inahusika nini na substances kwenye fikra za mtu!?..acha ushamba,mi natazama interviews CNN, BBC,al jazeera tangu una tongotongo,tangu mtangazaji wa hard talk hana mvi, christian amanpour binti na fareed zakaria hajaenda CNN,unamuita mtu bumunda kisa hafit your agenda!!..acheni ujinga na kombati zenu
Anachopaswa kujua ni hiki, Akishadharauliwa hapa JF atakuwa amedharauliwa Duniani na MbinguniSalum Kikeke ni mmoja wa waandishi wa habari mahiri na wenye uwezo mkubwa wa kuhoji na kwa bahati nzuri kuwahi kwake kufanya kazi BBC kumesaidia kumpa jina.
Lakini baada ya kumfatilia jana katika mahojiano yake na Lissu mbona ghafla nimemuona ni mwandishi wa daraja la chini mno hawezi fikia viwango vya kina mzee Tido Mhando hata chembe! Kwa nini ameporomoka ghafla hivi?
Swali la nia ya kutaka kugombea Urais, Lissu kamjibu sahihi kabisa kikanuni ndani ya Chadema lakini Kikeke katakana kuwa mbona Mrema kaeleza hivi na vile na mbona Msigwa naye kasema vile!
Mtu yeyote makini atajua anachotafuta hapa ni kuonyesha kuna mgogoro wa kugombea ndani ya Chadema.
Hii siyo sifa njema (kutumika) kuhoji ili kutengeneza mtifuano nje ya mfumo.
Kikeke lazima ujitofautishe na watu kama Kitenge. Hao wanaweza kutumika kwa lolote hata kama litasababisha dhiki na vifo kwa wengine ili mradi wao wapate rasilimali za kuwatambia wengine. Hizo huwa za muda tuu. Au nawe umetamani maisha hayo.
Usikute umeshaingia kwenye mfumo! Ila if so, bye bye weledi.
View: https://www.youtube.com/live/e-IRCGgC0KQ?si=gPN9FJdhQfJf19dc
Overated by BBC, right!?Your writing does not show that you are a person capable of following meaningful interviews. I said I disrespected him because I heard him interviewing Fatma Karume, and he showed that he is not competent. He is overrated. If you had any sense, you would go to YouTube and listen to that interview. A journalist should not be as timid as he showed in those interviews. For your information, I am not a member of any political party, but I cannot refrain from questioning the foolish things being done by journalists in Tanzania