Salim Kikeke: Ili ufikie Umahiri wa Kina Tido Mhando Lazima Ukwepe Kutumiwa

Usiwe bwege bwana! Nawe tafuta nini alisema Mrema uje uone kwa nini nasema Kikeke anamlisha maneno Mrema ambayo hajasema?
Ukileta thread weka maelezo yote, ya Kikeke na ya Mrema, tunaosoma thread yako tuelewe. Unaanzisha Uzi watu waanze kutafuta alichosema Mrema kulinganisha na Kikeke ndo nini!?, haraka ilikuwa ya nini!?,toa maelezo ya Mrema na Kikeke watu wajadili vinginevyo unaonekana mbabaishaji. Au wewe ndo Mrema nini!?
 
Hata mimi nimemshangaa Kikeke. Ninaishi nchi ambazo Waandishi wa habari wanahoji kweli kweli. Ila yale maswali yalilenga kutengeneza mgogoro chadema.
Kweli tofauti ya siku kama 10 barua kufika ofisini ni lazima kamati kuu wote wajue? Watajuaje kama Katibu haja share na wengine hiyo taarifa?

Jamaa wa hovyo sana . Wacha aendelee kuwa chawa.

Niliiona hata alivyoongea na Rais Samia.

Shida ni kutafuta maisha rahisi rahisi TZ kwa mgongo wa pesa za umma
 
Niemirudia mara mbili sijaona alipokosea

Muandishi wa Habari ndo unapaswa uwe hivo

Uulize maswali makali ya kuchokonoa ili yachokonolewe!

Kuna umuhimu wa kujibiwa Kama Lissu alivyojibu,

Tanzania ya sasa inatakiwa mtu aulizwe hivo kwa kuchokonoa

Na interview zake uwa Ziko hivo hata alivyoenda kuhoji RPC alimbana maswali akajikanyaga

Kikeke na Odemba ndo nawasikiliza sasa na ageingia Salama Jabir hawa watu wako makin sana

Britanicca
Salama ana interview zake, hasa maswala ya Social + Entertinment anafanya vizuri sana.
Ukija kwenye siasa wa kawaida sana, rejea interview yake na JK watu tulitegemea amchokonoe mzee ajibu mambo mengi lkn aliyliza very prety issues kama anamuuliza Diamond, kumbe ni mtu alie wai kua mkuu wa nchi
 
Yaani kisa kauliza maswali yanayokwaza chama chalk basi anakua low!!?..nyie wavaa kombati mna shida sana

..haina tatizo kama Kikeke atauliza maswali yanayowakwaza wapinzani.

..tatizo ni kwamba Kikeke haulizi maswali yanayowakwaza Ccm na serikali hata siku moja.

..wanahabari wanatakiwa waulize maswali magumu kwa pande zote, na sio kuwa vibaraka wa Ccm na serikali.
 
Mkuu @Retirwengi hapa wanajadili kitabu kwa rangi ya cover, ni kweli Kikeke alimhoji Lissu inavyotakiwa. Lakini anapofikia kumlisha maneno Mrema tofauti na alivyosema ni kama anajenga ugomvi ambao haupo! Na hilo kwa msikilizaji kama Kasuku hawezi lielewa.
Maswali ya zile kauli za Msigwa, majibu yako clear lakini anashikilia katika mfumo wa kuwa Msigwa ni mkweli hapo lazima tumtofautishe na mwandishi mtumia weledi.
Nimesikiliza, unaona kabisa kuwa Kikeke ana inclination fulani....
 
..haina tatizo kama Kikeke atauliza maswali yanayowakwaza wapinzani.

..tatizo ni kwamba Kikeke haulizi maswali yanayowakwaza Ccm na serikali hata siku moja.

..wanahabari wanatakiwa waulize maswali magumu kwa pande zote, na sio kuwa vibaraka wa Ccm na serikali.
Maswali gani yanayoikwaza CCM ambayo kikeke hakuuliza wakati anamuhoji nani?
 
Salum Kikeke ni mmoja wa waandishi wa habari mahiri na wenye uwezo mkubwa wa kuhoji na kwa bahati nzuri kuwahi kwake kufanya kazi BBC kumesaidia kumpa jina.
Lakini baada ya kumfatilia jana katika mahojiano yake na Lissu mbona ghafla nimemuona ni mwandishi wa daraja la chini mno hawezi fikia viwango vya kina mzee Tido Mhando hata chembe! Kwa nini ameporomoka ghafla hivi?
Swali la nia ya kutaka kugombea Urais, Lissu kamjibu sahihi kabisa kikanuni ndani ya Chadema lakini Kikeke katakana kuwa mbona Mrema kaeleza hivi na vile na mbona Msigwa naye kasema vile!
Mtu yeyote makini atajua anachotafuta hapa ni kuonyesha kuna mgogoro wa kugombea ndani ya Chadema.
Hii siyo sifa njema (kutumika) kuhoji ili kutengeneza mtifuano nje ya mfumo.
Kikeke lazima ujitofautishe na watu kama Kitenge. Hao wanaweza kutumika kwa lolote hata kama litasababisha dhiki na vifo kwa wengine ili mradi wao wapate rasilimali za kuwatambia wengine. Hizo huwa za muda tuu. Au nawe umetamani maisha hayo.
Usikute umeshaingia kwenye mfumo! Ila if so, bye bye weledi.

View: https://www.youtube.com/live/e-IRCGgC0KQ?si=gPN9FJdhQfJf19dc

Acha ushamba.
 
Kikeke hawezi kuwa bumunda kisa kakukera,wewe ndiye bumunda
Angalia interview yake na Fatma Karume. Fatma alimfanya awe bumunda siyo mimi. Kwa watu wa level ya chini kama wewe Kikeke ni kama mungu mtu, ila kwangu, mwenye exposure na elimu, Kikeke ni wa kawaida sana. Anashindwa hata na TV online za mtaani za Kenya.
 
Hivi ili uwe na fikira finyi namna hii mnosomea wapi?
 
Angalia interview yake na Fatma Karume. Fatma alimfanya awe bumunda siyo mimi. Kwa watu wa level ya chini kama wewe Kikeke ni kama mungu mtu, ila kwangu, mwenye exposure na elimu, Kikeke ni wa kawaida sana. Anashindwa hata na TV online za mtaani za Kenya.
Exposure inahusika nini na substances kwenye fikra za mtu!?..acha ushamba,mi natazama interviews CNN, BBC,al jazeera tangu una tongotongo,tangu mtangazaji wa hard talk hana mvi, christian amanpour binti na fareed zakaria hajaenda CNN,unamuita mtu bumunda kisa hafit your agenda!!..acheni ujinga na kombati zenu
 
Your writing does not show that you are a person capable of following meaningful interviews. I said I disrespected him because I heard him interviewing Fatma Karume, and he showed that he is not competent. He is overrated. If you had any sense, you would go to YouTube and listen to that interview. A journalist should not be as timid as he showed in those interviews. For your information, I am not a member of any political party, but I cannot refrain from questioning the foolish things being done by journalists in Tanzania
 
Salum Kikeke ni mmoja wa waandishi wa habari mahiri na wenye uwezo mkubwa wa kuhoji na kwa bahati nzuri kuwahi kwake kufanya kazi BBC kumesaidia kumpa jina.
Lakini baada ya kumfatilia jana katika mahojiano yake na Lissu mbona ghafla nimemuona ni mwandishi wa daraja la chini mno hawezi fikia viwango vya kina mzee Tido Mhando hata chembe! Kwa nini ameporomoka ghafla hivi?
Swali la nia ya kutaka kugombea Urais, Lissu kamjibu sahihi kabisa kikanuni ndani ya Chadema lakini Kikeke katakana kuwa mbona Mrema kaeleza hivi na vile na mbona Msigwa naye kasema vile!
Mtu yeyote makini atajua anachotafuta hapa ni kuonyesha kuna mgogoro wa kugombea ndani ya Chadema.
Hii siyo sifa njema (kutumika) kuhoji ili kutengeneza mtifuano nje ya mfumo.
Kikeke lazima ujitofautishe na watu kama Kitenge. Hao wanaweza kutumika kwa lolote hata kama litasababisha dhiki na vifo kwa wengine ili mradi wao wapate rasilimali za kuwatambia wengine. Hizo huwa za muda tuu. Au nawe umetamani maisha hayo.
Usikute umeshaingia kwenye mfumo! Ila if so, bye bye weledi.

View: https://www.youtube.com/live/e-IRCGgC0KQ?si=gPN9FJdhQfJf19dc

Anachopaswa kujua ni hiki, Akishadharauliwa hapa JF atakuwa amedharauliwa Duniani na Mbinguni

Awe Makini mno!
 
Your writing does not show that you are a person capable of following meaningful interviews. I said I disrespected him because I heard him interviewing Fatma Karume, and he showed that he is not competent. He is overrated. If you had any sense, you would go to YouTube and listen to that interview. A journalist should not be as timid as he showed in those interviews. For your information, I am not a member of any political party, but I cannot refrain from questioning the foolish things being done by journalists in Tanzania
Overated by BBC, right!?
 
Tatizoni aina ya chombo anachofanyia,Crown Radio mwisho wa kusikika chalinze
 
Back
Top Bottom