M.Rutabo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 1,031
- 2,647
Ukiachana na makando kando yake Salama yupo sawa kwenye swala la kuuliza maswali.Mh! Britanicca unaninagusha...Nshomile hawako hivi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiachana na makando kando yake Salama yupo sawa kwenye swala la kuuliza maswali.Mh! Britanicca unaninagusha...Nshomile hawako hivi!
anyway, nisibishe maana sijawahi msikiliza, ngoja nifanye homework hiyoUkiachana na makando kando yake Salama yupo sawa kwenye swala la kuuliza maswali.
Maswali gani yanakwaza chama? Ukijadili kwa ushabiki kama wa Simba na Yanga huwezi ona mapungufu ya uweledi katika kazi aliyofanya jana! Jana ameonyesha malengo yake kabisa yalikuwa nini, bahati mbaya kamkuta anaye muuliza ana uwezo 10x kumzidi ila ingekuwa wengine ni shida.Yaani kisa kauliza maswali yanayokwaza chama chalk basi anakua low!!?..nyie wavaa kombati mna shida sana
Salum Kikeke ni mmoja wa waandishi wa habari mahiri na wenye uwezo mkubwa wa kuhoji na kwa bahati nzuri kuwahi kwake kufanya kazi BBC kumesaidia kumpa jina.
Lakini baada ya kumfatilia jana katika mahojiano yake na Lissu mbona ghafla nimemuona ni mwandishi wa daraja la chini mno hawezi fikia viwango vya kina mzee Tido Mhando hata chembe! Kwa nini ameporomoka ghafla hivi?
Swali la nia ya kutaka kugombea Urais, Lissu kamjibu sahihi kabisa kikanuni ndani ya Chadema lakini Kikeke katakana kuwa mbona Mrema kaeleza hivi na vile na mbona Msigwa naye kasema vile!
Mtu yeyote makini atajua anachotafuta hapa ni kuonyesha kuna mgogoro wa kugombea ndani ya Chadema.
Hii siyo sifa njema (kutumika) kuhoji ili kutengeneza mtifuano nje ya mfumo.
Kikeke lazima ujitofautishe na watu kama Kitenge. Hao wanaweza kutumika kwa lolote hata kama litasababisha dhiki na vifo kwa wengine ili mradi wao wapate rasilimali za kuwatambia wengine. Hizo huwa za muda tuu. Au nawe umetamani maisha hayo.
Usikute umeshaingia kwenye mfumo! Ila if so, bye bye weledi.
View: https://www.youtube.com/live/e-IRCGgC0KQ?si=gPN9FJdhQfJf19dc
Kabla hujaharisha uharo wako basi fanya utafiti. Kasikilize mahojiano yake na Fatma Karume ndiyo ujue Kikeke ni bumunda.Yaani kisa kauliza maswali yanayokwaza chama chalk basi anakua low!!?..nyie wavaa kombati mna shida sana
Sikiliza mahajiano ya Fatma Karume na Kikeke. Huko siyo kuchokonoa bali ni ujinga na kujidhalilisha.Niemirudia mara mbili sijaona alipokosea
Muandishi wa Habari ndo unapaswa uwe hivo
Uulize maswali makali ya kuchokonoa ili yachokonolewe!
Kuna umuhimu wa kujibiwa Kama Lissu alivyojibu,
Tanzania ya sasa inatakiwa mtu aulizwe hivo kwa kuchokonoa
Na interview zake uwa Ziko hivo hata alivyoenda kuhoji RPC alimbana maswali akajikanyaga
Kikeke na Odemba ndo nawasikiliza sasa na ageingia Salama Jabir hawa watu wako makin sana
Britanicca
Kila anayebisha namwambia asikilize mahojiano ya Kikeke na Fatma Karume. Wengine hata hamjui kinacholalamikiwa hapa. Kikeke yuko chini sana kimahojiano (pengine ni woga au anatumika).Shida ya watanzania mtu akihoji maswali chokonozi basi wa upande mwingine wanasema anatumiwa. Ingekuwa kamhoji maswali ya kichokonozi makamba hapo angepewa sifa na upande mwingine
Kumbukeni vyombo vya habari hapa nchini haviko huru kiasi hicho - mwandishi lazima aegemee upande wa watawala kidogo wakati anatengeneza maudhui ya mahojiano.Huyo Chawa tu...
Mkuu @Retirwengi hapa wanajadili kitabu kwa rangi ya cover, ni kweli Kikeke alimhoji Lissu inavyotakiwa. Lakini anapofikia kumlisha maneno Mrema tofauti na alivyosema ni kama anajenga ugomvi ambao haupo! Na hilo kwa msikilizaji kama Kasuku hawezi lielewa.anyway, nisibishe maana sijawahi msikiliza, ngoja nifanye homework hiyo
Kikeke hawezi kuwa bumunda kisa kakukera,wewe ndiye bumundaKabla hujaharisha uharo wako basi fanya utafiti. Kasikilize mahojiano yake na Fatma Karume ndiyo ujue Kikeke ni bumunda.
Kupata clean certificate haimaanishi mali haziibwi,hapo inaonesha uchanga wako kwenye mambo serious,na jibu la swali la kikeke halikupaswa kuwa cag katoa clean certificate bali kujibu alivyodai msigwa kwamba mali zaibwaMaswali gani yanakwaza chama? Ukijadili kwa ushabiki kama wa Simba na Yanga huwezi ona mapungufu ya uweledi katika kazi aliyofanya jana! Jana ameonyesha malengo yake kabisa yalikuwa nini, bahati mbaya kamkuta anaye muuliza ana uwezo 10x kumzidi ila ingekuwa wengine ni shida.
Kung'ang'ania eti Msigwa kasema mali za chama zinaibiwa yeye Lissu anasemaje, ni ujinga kuulizwa swali hilo toka mwandishi mbobevu anayejua fedha na mali za chama zinakaguliwa na CAG na ripoti inatolewa annually. Na anajua kuwa kila mwaka Chadema wanapata Clean certificate wakati vyama vingine vina hati chafu including CCM.
Naunga mkono hojaPale magogoni Zuhura hajapata mrithi
Anataka maswali ya kumfurahisha yeye tu, hawazi kua hayo maswali kuna wengine wanataka kusikia Lissu ana maoni gani..Shida ya watanzania mtu akihoji maswali chokonozi basi wa upande mwingine wanasema anatumiwa. Ingekuwa kamhoji maswali ya kichokonozi makamba hapo angepewa sifa na upande mwingine
Salum Kikeke ni mmoja wa waandishi wa habari mahiri na wenye uwezo mkubwa wa kuhoji na kwa bahati nzuri kuwahi kwake kufanya kazi BBC kumesaidia kumpa jina.
Lakini baada ya kumfatilia jana katika mahojiano yake na Lissu mbona ghafla nimemuona ni mwandishi wa daraja la chini mno hawezi fikia viwango vya kina mzee Tido Mhando hata chembe! Kwa nini ameporomoka ghafla hivi?
Swali la nia ya kutaka kugombea Urais, Lissu kamjibu sahihi kabisa kikanuni ndani ya Chadema lakini Kikeke katakana kuwa mbona Mrema kaeleza hivi na vile na mbona Msigwa naye kasema vile!
Mtu yeyote makini atajua anachotafuta hapa ni kuonyesha kuna mgogoro wa kugombea ndani ya Chadema.
Hii siyo sifa njema (kutumika) kuhoji ili kutengeneza mtifuano nje ya mfumo.
Kikeke lazima ujitofautishe na watu kama Kitenge. Hao wanaweza kutumika kwa lolote hata kama litasababisha dhiki na vifo kwa wengine ili mradi wao wapate rasilimali za kuwatambia wengine. Hizo huwa za muda tuu. Au nawe umetamani maisha hayo.
Usikute umeshaingia kwenye mfumo! Ila if so, bye bye weledi.
View: https://www.youtube.com/live/e-IRCGgC0KQ?si=gPN9FJdhQfJf19dc
Salum Kikeke ni mmoja wa waandishi wa habari mahiri na wenye uwezo mkubwa wa kuhoji na kwa bahati nzuri kuwahi kwake kufanya kazi BBC kumesaidia kumpa jina.
Lakini baada ya kumfatilia jana katika mahojiano yake na Lissu mbona ghafla nimemuona ni mwandishi wa daraja la chini mno hawezi fikia viwango vya kina mzee Tido Mhando hata chembe! Kwa nini ameporomoka ghafla hivi?
Swali la nia ya kutaka kugombea Urais, Lissu kamjibu sahihi kabisa kikanuni ndani ya Chadema lakini Kikeke katakana kuwa mbona Mrema kaeleza hivi na vile na mbona Msigwa naye kasema vile!
Mtu yeyote makini atajua anachotafuta hapa ni kuonyesha kuna mgogoro wa kugombea ndani ya Chadema.
Hii siyo sifa njema (kutumika) kuhoji ili kutengeneza mtifuano nje ya mfumo.
Kikeke lazima ujitofautishe na watu kama Kitenge. Hao wanaweza kutumika kwa lolote hata kama litasababisha dhiki na vifo kwa wengine ili mradi wao wapate rasilimali za kuwatambia wengine. Hizo huwa za muda tuu. Au nawe umetamani maisha hayo.
Usikute umeshaingia kwenye mfumo! Ila if so, bye bye weledi.
View: https://www.youtube.com/live/e-IRCGgC0KQ?si=gPN9FJdhQfJf19dc
Umeiweka vizuri sana hiiKumbukeni vyombo vya habari hapa nchini haviko huru kiasi hicho - mwandishi lazima aegemee upande wa watawala kidogo wakati anatengeneza maudhui ya mahojiano.
Ndiyo maana mahojiano haya yanamfurahisha mtu wa CCM na kumkera kiasi tu wa CDM.
Kwa mfano Mrema alisema.kabisa nakukuu "huenda Lissu kashaandika barua kwa katibu Mkuu ila mimi silifahamu hilo ma kama kashaamdika basi hajatengua kanuni yoyote ile ya katiba yetu:
Sasa Kikeke kangangania kwa nini katibu Mkuu hajamwambia msemaji? Hapa ndipo tatizo ka Kileke lilipo - si LAZIMA kwa Katibu mkuu kumwambia kila mfanyakazi wa ofisi yake kwamba kashapokea barua X za wagombea urais pamoja na majina yao.
Hoja hii alitaka kuikuza huyo Kikeke ionekane CDM wana gaps - wakati hamna hoja hapo.