Salim Kikeke kufanya mahojiano na Mbowe kuanzia saa 12 jioni ya leo

Hii ndio habari nimeona mtandaoni jioni hii:

Mahojiano yatakuwa live kupitia YouTube.
sasa hiyo you tube wanadhani kila mtu anayo? Mativii yapo mengi si wangefanya mahojiano yao huko?
 
Tunasubiri hiyo saa 12 ya jioni ifike,sijui itakuwaje
 
mbowe nafikiri anakwenda kusawazisha mambo

ikumbukwe yeye ndie miliki wa duka sasa mawinga walitaka kujimilikisha kihuni
 
Ayatolah Mbowe kashusha nondo gani huko?tunaomba summary
 
Mbowe anamgalagaza sana Lissu hapa.

Lissu anavuliwa nguo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…