mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Naona ni swala la muda tu tutapewa tangazo hilo,,hasa baada ya Msigwa kuhamishiwa wizara ya habari kuwa katibu mkuu ni wazi Sasa kuwa kikeke hakuacha kazi bure kule London
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haingii pale,kumbuka alimchapa maswali mama yenu akamkata jicho na kutoa povu sana.Nafasi yake Ile jambo la muda tu...
Unakumbuka ya mkuu wa mkoa wa daresalaam kule mwanza...??Haingii pale,kumbuka alimchapa maswali mama yenu akamkata jicho na kutoa povu sana.
Hiyo si yake
huyu hajui wanasiasa kuwa ni watu wa ndimi mbili.Unakumbuka ya mkuu wa mkoa wa daresalaam kule mwanza...??
Hajuihuyu hajui wanasiasa kuwa ni watu wa ndimi mbili.
Absolutely 💯%Naona ni swala la muda tu tutapewa tangazo hilo,,hasa baada ya Msigwa kuhamishiwa wizara ya habari kuwa katibu mkuu ni wazi Sasa kuwa kikeke hakuacha kazi bure kule London
Kikeke haingii pale asilani,ye atafute tu kazi zingine.huyu hajui wanasiasa kuwa ni watu wa ndimi mbili.
mkuu kwani nimesema kikeke anaingia pale? mbona kama hili povu sio sehemu yake.Kikeke haingii pale asilani,ye atafute tu kazi zingine.
Kuna povu gani hapo mkuu?mkuu kwani nimesema kikeke anaingia pale? mbona kama hili povu sio sehemu yake.
KiKeke anaweza kuwa na jina kubwa ila hana kitu kichwani.Naona ni swala la muda tu tutapewa tangazo hilo,,hasa baada ya Msigwa kuhamishiwa wizara ya habari kuwa katibu mkuu ni wazi Sasa kuwa kikeke hakuacha kazi bure kule London
Alishindwa kumuuliza maswali magumu, huyu anaweza kuwa chawa mzuriAbsolutely 💯%
Na ndiyo huyu huyu aliyemhoji wakati ule kuhusu ugaidi fake wa Mbowe.
MhhhhKiKeke anaweza kuwa na jina kubwa ila hana kitu kichwani.
never say never, hakuna adui wala rafiki wa kudumu, ila kuna maslahi ya kudumu, usimwapie mtu mkuu hujui moyoni kwake kuna nn, sana sana wanasiasa, hawa ni malaya kama malaya wengine tu.Kuna povu gani hapo mkuu?
Tunazungumzia uhalisia