Salim kikeke kumrithi Msigwa?

Salim kikeke kumrithi Msigwa?

KiKeke anaweza kuwa na jina kubwa ila hana kitu kichwani.
Yaani nimewahi kuwaza hivyo but nikapotezea manake Kazi yake haikua na impact yoyote katika maisha ya kila siku ya Mtanzania, now wameanza kumpa milage nimestuka kidogo, yaani kuwa hodari wa kusoma Teleprompter tuu ndio apewe Kazi kubwana sensitive kama hiyo!?
Kama ni lazima kupewa Kaz basi waanze kumgroom aje achukue Kazi za kina Shabban Kissu na Yule Baba yake Mavunde..manake siwaoni/siwasikii siku hizi.
 
Kwa ndio sababu yake ya kuacha BBC! Alishaambiwa anakuja huku. Duh!
 
Naona ni swala la muda tu tutapewa tangazo hilo,,hasa baada ya Msigwa kuhamishiwa wizara ya habari kuwa katibu mkuu ni wazi Sasa kuwa kikeke hakuacha kazi bure kule London
Lisemwalo lipo and the new state spokesman 'msemaji wa Taifa' is Salim Kikeke

Makofi kidogo basi jamani mabwibwi na mabwanya
 
Naona ni swala la muda tu tutapewa tangazo hilo,,hasa baada ya Msigwa kuhamishiwa wizara ya habari kuwa katibu mkuu ni wazi Sasa kuwa kikeke hakuacha kazi bure kule London

Elimu yake ipoje, ana degree angalau moja? Maana Ukurugenzi inatakiwa kuwa na angalau degree moja. Kina Yunus hawa walishapiga degree miaka mingi tu hapo UDSM.
 
Hilo linajulikana na Msigwa tulishamchana Twitter
 
Yaani nimewahi kuwaza hivyo but nikapotezea manake Kazi yake haikua na impact yoyote katika maisha ya kila siku ya Mtanzania, now wameanza kumpa milage nimestuka kidogo, yaani kuwa hodari wa kusoma Teleprompter tuu ndio apewe Kazi kubwana sensitive kama hiyo!?
Kama ni lazima kupewa Kaz basi waanze kumgroom aje achukue Kazi za kina Shabban Kissu na Yule Baba yake Mavunde..manake siwaoni/siwasikii siku hizi.
Aliwahi kuhojiwa live kwenye BBC world alishindwa kuongea kabisa ikabidi interview ikatishwe
 
Back
Top Bottom