Naona ni swala la muda tu tutapewa tangazo hilo,,hasa baada ya Msigwa kuhamishiwa wizara ya habari kuwa katibu mkuu ni wazi Sasa kuwa kikeke hakuacha kazi bure kule London

Watangazaji waliokuwa BBC na ambao walikuwa wakimponda JPM wanakaribishwa Ikulu ya Tanzania kuwa wasemaji wa serikali na wakurugenzi (Yunus+Kikeke) inawezekana kipindi walikuwa wakitumwa na mtu