Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Njaa, kwani kwenye hicho kikolokolo chake anapata nini cha maana. Lazima awe chawa, tena chawa chakavuWakuu
Katika kusheherekea na kuadhimisha miaka minne ya utumishi wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia tangu alipoingia madarakani Samia 4x4 wakiongozwa na Mtangazaji Salim Kikeke wameandaa ziara ya matembezi ya kiburudani kuelekea Mkoani Tanga Wilayani Pangani kwa ajili ya kutembelea baadhi ya miradi Mkoani humo na kugawa misaada ya mbalimbali kwa Wananchi wenye uhitaji.
Akizungumza na waandishi wa Habari Salim Kikeke amesema moja ya usafiri utakaotumika katika safari hiyo kuelekea huko Pangani Tanga ni gari aina ya Landcruiser 4X4 zaidi ya 100.
Pia amethibitisha kupokelewa na Waziri wa maji na Mbunge wa Pangani Jumaa Aweso ambaye atakuwa kama mwenyeji wao baada ya kuwasili Mkoani humo.
Lengo la safari hiyo ni kuunga mkono jitihada za Rais Samia pamoja na kusheherekea miaka minne ya utumishi wake na mambo mazuri aliyoyafanya kwenye Nchi yetu ya Tanzania.
Hivi tunatenganisha vipi uchawa na support ya kisiasa au kifalsafa ya kawaida isiyo uchawa?Wakuu
Katika kusheherekea na kuadhimisha miaka minne ya utumishi wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia tangu alipoingia madarakani Samia 4x4 wakiongozwa na Mtangazaji Salim Kikeke wameandaa ziara ya matembezi ya kiburudani kuelekea Mkoani Tanga Wilayani Pangani kwa ajili ya kutembelea baadhi ya miradi Mkoani humo na kugawa misaada ya mbalimbali kwa Wananchi wenye uhitaji.
Akizungumza na waandishi wa Habari Salim Kikeke amesema moja ya usafiri utakaotumika katika safari hiyo kuelekea huko Pangani Tanga ni gari aina ya Landcruiser 4X4 zaidi ya 100.
Pia amethibitisha kupokelewa na Waziri wa maji na Mbunge wa Pangani Jumaa Aweso ambaye atakuwa kama mwenyeji wao baada ya kuwasili Mkoani humo.
Lengo la safari hiyo ni kuunga mkono jitihada za Rais Samia pamoja na kusheherekea miaka minne ya utumishi wake na mambo mazuri aliyoyafanya kwenye Nchi yetu ya Tanzania.
Waandishi wa habari wa nchi hii ni janga kubwa sanaWakuu

Almost hakuna Mbongo asiyefika bei. Mara nyingi huwa ni suala la muda tu!Wakuu

Alipata Division 4, kidato cha nne!Aibu kwake na kwa wazazi wake
Upo sahihi mkuu...Hivi tunatenganisha vipi uchawa na support ya kisiasa au kifalsafa ya kawaida isiyo uchawa?
Mimi leo nikimuelewa na kumkubali Samia na kuanza kampeni za siasa kwa sababu naamini kabisa Samia ndiye mtu sahihi, na CCM ndicjo chama sahihi, bila uchawa, mtanitenganishaje na machawa?
Uchawa ni aibuHayo ni maisha yake na ana haki ya kikatiba kuunga mkono upande wowote wa kisiasa anaoona unafaa kwa upande wake.
Chadema ni chawa wa kwanza wa Ccm ndo maana walitoa tuzo wakampa SamiaUchawa ni aibu
Mkuu,Alipata Division 4, kidato cha nne!
Maratizo yalianzia hapo
Kuna watu wanapangiwa maisha hapa nchini ili kumfurahisha MalikiaAkizungumza na waandishi wa Habari Salim Kikeke amesema moja ya usafiri utakaotumika katika safari hiyo kuelekea huko Pangani Tanga ni gari aina ya Landcruiser 4X4 zaidi ya 100.
Pia amethibitisha kupokelewa na Waziri wa maji na Mbunge wa Pangani Jumaa Aweso ambaye atakuwa kama mwenyeji wao baada ya kuwasili Mkoani humo.
Watu wamejitoa ufahamu kabisa!Wakuu