PreGE2025 Salim Kikeke kutoka BBC Swahili hadi kuwa Chawa mkubwa wa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kuna ushabiki (huu unaweza hata kuwa wakijinga) Shabiki hatarajii ujira/fidia kutoka kwa kile/yule anaeshabikia. Anaweza kukosa uelewa wa anachoshabikia lakini kwa mapenzi yake akashabikia na pengine hata kutetea upuuzi bila ya kutarajia any form of compensation/gain.

Uchawa ni ile hali ya kuhalalisha upumbavu ambao hata haulalishiki ili tu uonekane bora mbele ya yule unaemhalilishia kwa muktadha wa kutarajia labda utavuna kitu kama fidia/ujira.

Chawa kifasihi ni mdudu mdogo mnyonya damu anaeishi kwenye mwili wa binadamu/mnyama.

Kwa sasa wehu wanaoweka rehani utu wao kwa kusifia hata visivyosifika kwa matumaini ya some sort of monetary/political gain huitwa chawa.

Kwa lugha nyepesi chawa ni mpuuzi aliekuwa radhi kuweka utu wake rehani kwa kusifia/ku support blindly ili tu apate manufaa.

Panapokuwa na matarajio ya kufaidika kwa ku support automatically unatoka kwenye ushabiki na kuwa LICHAWA.
Nimekuelewa, kwa hiyo kushabikia kijinga tu si uchawa, uchawa ni mpaka ushabikie (hata kama si kijinga) kwa kujipanga kupata maslahi fulani, labda pesa, hisani, utwuzi fulani, etc.

Sasa tunaposema mtu fulani ni chawa, kama Kikeke kwa nfano, tunajiridhisha vipi ametimiza vigezo vya uchawa?

Tunajuaje Kikeke anapiga kampeni kwa kitafuta pesa ama uteuzi, na si kwa uzalendo (ambao labda unaweza kutofautiana kifalsafa na wengine, lakini bado ukawa uzalendo kwa uelewa wake) au hata ujinga tu?
 
1. Aliweka dhahiri dhamira yake ya kutaka kuingia kwenye siasa na pengine kugombea ubunge.

2. Alishaitaka nafasi ya msemaji wa ikulu ila inasadikika kuliwekwa figusi.

3. A mere glance at his body language anapoongelea hiyo 4x4 you can see it's robotic and scripted, chances are amelipwa kama prominent media personnel kupromote 'cult' ya mama hiki na mama kile.

4. Is it a coincidence kwamba towards uchaguzi mkuu kunakuja 4x4, kwanini haikuwa 2x2 alipotimiza miaka 2. Na hapo hapo kuna upuuzi mwingi mithili ya huu unaendelea ku promote mama, in other words indirect campaigning.

Siongelei nafsi ya mtu, but I know for a fact Kikeke hayupo hapo kama staunch supporter bali chawa kama kina Mwijaku tu. A dignified chawa, while at it.
 
At this point I am beyond Kikeke.

Sipendi uchawa, lakini pia sipendi tabia ya kumuita kirahisi mtu yeyote chawa kwa sababu yupo kwenye upande tofauti na wewe tu.

Inatakiwa sifa ya uchawa iende na distinction fulani kwa kuangalia vigezo muhimu, si ya kupewa kila mtu kirahisirahisi tu.
 
At tgis ppint I am beyond Kikeke.

Sipendi uchawa, lakini pia sipendi tabia ya kumuita kirahisi mtu yeyote chawa kwa sababu yupo kwenye upande tofauti na wewe tu.

Inatakiwa sifa ya uchawa iende na distinction fulani kwa kuangalia vigezo muhimu, si ya kupewa kila mtu kirahisirahisi tu.
Noted
 
Hivi tunatenganisha vipi uchawa na support ya kisiasa au kifalsafa ya kawaida isiyo uchawa?

Mimi leo nikimuelewa na kumkubali Samia na kuanza kampeni za siasa kwa sababu naamini kabisa Samia ndiye mtu sahihi, na CCM ndicho chama sahihi, bila uchawa, mtanitenganishaje na machawa?
Kuna fani hauwezi kuzitumikia ukishakuwa na uchawa. Muandishi wa Habari hawezi kuwa chawa kisha akafanya kazi yake kwa weledi, ni wazi atawapa mashaka watu.

Leo hii refarii wa soka, akionekana katika picha za video akiinanga timu A, kesho hawezi tena kuchezesha mechi za hiyo timu.
 
Mkuu,

Division za shule za Tanzania za zamani hazina maana.

Mtu anaweza kuwa kapata division 4 kwa sababu anaumwa macho na hakuwa na miwani tu.

Wewe huoni siku hizi vijana wanavyozipiga 1 kama wanazinunua kwa Wamachinga Kariakoo?

Unafikiri akili na uelewa wetu umeongezeka ghafla hivyo?

Mpime mtu kwa kazi yake, anavyojituma, anavyojiongeza, anavyotumia mantiki, anavyotatua matatizo, hayo mambo ya division za miaka ya tisini kuna watu wamezaliwa familia mbaya tu hawakuwa na nafasi ya kujiandaa vizuri na mitihani.
Wana sema "one might great at answering selected number of questions, but he is a dumb when it comes at relating or creating solutions in a certain field.

tusi sahau Kuna watu ni mabingwa wa kukariri na kupiga chabo Kiranga 😁
 
Hivi tunatenganisha vipi uchawa na support ya kisiasa au kifalsafa ya kawaida isiyo uchawa?

Mimi leo nikimuelewa na kumkubali Samia na kuanza kampeni za siasa kwa sababu naamini kabisa Samia ndiye mtu sahihi, na CCM ndicho chama sahihi, bila uchawa, mtanitenganishaje na machawa?
Ilimradi umeungana na wanyonyaji wa wananchi basi unakuwa chawa automatically
 
Kuna fani hauwezi kuzitumikia ukishakuwa na uchawa. Muandishi wa Habari hawezi kuwa chawa kisha akafanya kazi yake kwa weledi, ni wazi atawapa mashaka watu.

Leo hii refarii wa soka, akionekana katika picha za video akiinanga timu A, kesho hawezi tena kuchezesha mechi za hiyo timu.
Sawa.

Lakini swali la msingi hujalijibu.

Tunatenganishaje huyu chawa, na huyu ana support kisiasa tu, labda hata kijinga, lakini si chawa, anatumia haki yake ya kikatiba na kibinadamu kuchagua upande anaoona sawa katika siasa, kifalsafa tu.
 
N
Hayo ni maisha yake na ana haki ya kikatiba kuunga mkono upande wowote wa kisiasa anaoona unafaa kwa upande wake, ndo maana hajakupangia wala kukuita chawa wa upande wako wa siasa unaouona ni sahihi kwahiyo kila mtu akae upande wake ndo demokrasia
Na wengine tupo Nyuturoo kabisa ! 👍
 
Hivi tunatenganisha vipi uchawa na support ya kisiasa au kifalsafa ya kawaida isiyo uchawa?

Mimi leo nikimuelewa na kumkubali Samia na kuanza kampeni za siasa kwa sababu naamini kabisa Samia ndiye mtu sahihi, na CCM ndicho chama sahihi, bila uchawa, mtanitenganishaje na machawa?
CCM imechokwa mno bro ndo maana hata iweje jema watu watadiss
 
Back
Top Bottom