PreGE2025 Salim Kikeke kutoka BBC Swahili hadi kuwa Chawa mkubwa wa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Exactly.

Bado mpaka sasa sijapewa jibu la tunawezaje kumtenganisha chawa na mtu anayetumia haki zake za kikatiba na kibinadamu tu kuchagua siasa anazozitaka kifalsafa bila uchawa.
Nadhani hili linataka mtu mwenye fikra pana aliyejivua koti la mihemko na kufuata mkumbo na kutumia vyema akili yake......

Unaweza ukavutiwa na sera za mtu na ukapendezwa kuzisambaza ukiamini zitaleta matokeo chanya lakini ukapata sifa mbaya kutokana na anakotoka huyo uliyependezwa naye......

Kukithiri kwa upepo huu wa uchawa umefanya baadhi ya watu kuyabakisha mioyoni mwao yanayowapendeza ili kulinda heshima zao
 
Hivi tunatenganisha vipi uchawa na support ya kisiasa au kifalsafa ya kawaida isiyo uchawa?

Mimi leo nikimuelewa na kumkubali Samia na kuanza kampeni za siasa kwa sababu naamini kabisa Samia ndiye mtu sahihi, na CCM ndicho chama sahihi, bila uchawa, mtanitenganishaje na machawa?
Broo wewe anza uchawa tu achana na maneno ya walimwengu.
 
Sijasema nataka kuanza uchawa, najenga hoja ya kidhahania.

Huko Tanzania mimi hata kupiga kura siruhusiwi.

Unaelewa maana ya neno dhahania?
 
Hivi tunatenganisha vipi uchawa na support ya kisiasa au kifalsafa ya kawaida isiyo uchawa?

Mimi leo nikimuelewa na kumkubali Samia na kuanza kampeni za siasa kwa sababu naamini kabisa Samia ndiye mtu sahihi, na CCM ndicho chama sahihi, bila uchawa, mtanitenganishaje na machawa?
Swali zuri sana
 
Kikeke na Ay sikuwahi kutegemea kuwa machawa ila ndo wanaongoza Kwak sasa
 
Sijasema nataka kuanza uchawa, najenga hoja ya kidhahania.

Huko Tanzania mimi hata kupiga kura siruhusiwi.

Unaelewa maana ya neno dhahania?
Unaweza kuwa huruhusiwi kupiga kura lakini ukawa unanufaika na wale wana0tangazwa kuwa wameshinda kwenye kile kinachoitwa "chaguzi" na wale wanaotangazwa kuwa wameshinda.
 
Unaweza kuwa huruhusiwi kupiga kura lakini ukawa unanufaika na wale wana0tangazwa kuwa wameshinda kwenye kile kinachoitwa "chaguzi" na wale wanaotangazwa kuwa wameshinda
 
Unaweza kuwa huruhusiwi kupiga kura lakini ukawa unanufaika na wale wana0tangazwa kuwa wameshinda kwenye kile kinachoitwa "chaguzi" na wale wanaotangazwa kuwa wameshinda.
Ukiandika "unaweza" hiyo ni dhana tu, thibitisha ninafaidika.

Tanzania hata likizo sijaja mwaka wa 13 huu sasa, likizo zangu siku hizi nakwenda Turks and Caicos.

Mimi nakaa na kufanya kazi Marekani wanaochaguliwa Tanzania wananifaidisha vipi?
 
Kibovu kinapigiwa debe kila kukicha ili kionekane kizuri...

Haya mambo utayakuta Tanganyika tu
 
Hayo ni maisha yake na ana haki ya kikatiba kuunga mkono upande wowote wa kisiasa anaoona unafaa kwa upande wake, ndo maana hajakupangia wala kukuita chawa wa upande wako wa siasa unaouona ni sahihi kwahiyo kila mtu akae upande wake ndo demokrasia
Humu kila aliye CCM ni chawa, hahahaha ,usishangae
 
Mkuu,

Division za shule za Tanzania za zamani hazina maana.

Mtu anaweza kuwa kapata division 4 kwa sababu anaumwa macho na hakuwa na miwani tu.

Wewe huoni siku hizi vijana wanavyozipiga 1 kama wanazinunua kwa Wamachinga Kariakoo?

Unafikiri akili na uelewa wetu umeongezeka ghafla hivyo?

Mpime mtu kwa kazi yake, anavyojituma, anavyojiongeza, anavyotumia mantiki, anavyotatua matatizo, hayo mambo ya division za miaka ya tisini kuna watu wamezaliwa familia mbaya tu hawakuwa na nafasi ya kujiandaa vizuri na mitihani.
Mzee Kiranga umeongea point kubwa mno. Mimi nilimaliza std 7 mwaka 1999 ila kuna jamaa hawakuchaguliwa kwenda form one na safari yao kielimu iliishia pale. Wale jamaa zangu najua kabisa wangepata hata mfadhili akawapeleka private wangefika mbali mno. Ilikuwa bahati mbaya kwao kutochaguliwa kutokana na uhaba wa shule wakati huo.
 
Sijasema nataka kuanza uchawa, najenga hoja ya kidhahania.

Huko Tanzania mimi hata kupiga kura siruhusiwi.

Unaelewa maana ya neno dhahania?
Mbona mifano ya machawa ipo mingi tu si dhani kama ulihitaji kupata tafsi mkuu na kuanza kuzitafuta hizo dhahania.

Chawa yeye ni kumwaga sifa tu bila kujali facts.
Chawa hata umpe nafasi ya kujadili hoja ataishia kumwaga misifa tu
Chawa hajui kuhoji na kutokubaliana na jambo.
Chawa ni zaidi ya promota,

Hakuna anayekataa kusifia ama kuunga mkono jambo, ila ni kwa namna gani unawasilisha.
 
Ukiandika "unaweza" hiyo ni dhana tu, thibitisha ninafaidika.

Mimi nakaa na kufanya kazi Marekani wanaochaguliwa Tanzania wananifaidisha vipi?
Wanaochaguliwa Tz inawezekana ni wanafamilia wenzako. Nayo pia ni dhana tu.
 
Mzee Kiranga umeongea point kubwa mno. Mimi nilimaliza std 7 mwaka 1999 ila kuna jamaa hawakuchaguliwa kwenda form one na safari yao kielimu iliishia pale. Wale jamaa zangu najua kabisa wangepata hata mfadhili akawapeleka private wangefika mbali mno. Ilikuwa bahati mbaya kwao kutochaguliwa kutokana na uhaba wa shule wakati huo.
Naam,

Sasa hao kibongobongo wanaonekana hawana akili.

Halafu tunashangaa kwa nini nchi haiendelei.
 
Mbona mifano ya machawa ipo mingi tu si dhani kama ulihitaji kupata tafsi mkuu na kuanza kuzitafuta hizo dhahania.

Chawa yeye ni kumwaga sifa tu bila kujali facts.
Chawa hata umpe nafasi ya kujadili hoja ataishia kumwaga misifa tu
Chawa hajui kuhoji na kutokubaliana na jambo.
Chawa ni zaidi ya promota,

Hakuna anayekataa kusifia ama kuunga mkono jambo, ila ni kwa namna gani unawasilisha.
Mkuu,

Mtu akifanya hayo yote kwa ujinga tu, kishabiki tu, kwa mahaba tu, bila kutegemea malipo wala hisani yoyote, ni chawa au ni mshabiki mjinga tu?

Kuna watu wame define uchawa kuwa ni lazima ufanye promo kwa kutegemea kitu fulani hivi kama malipo, fadhila, uteuzi.

Hapo una maoni gani?

Mimi napenda hili neno chawa tuli define vizuri tu lisiwe chaka la kuwachinjia watu wote wa mrengo fulani wakati inawezekana kundi hilo lina washabiki wajinga tu ambao hawapo kimaslahi, halafu kuna wengine wanapiga promo kwa kutafuta maslahi fulani, na wengine wanapiga promo kwa kuamini kabisa siasa na falsafa fulani.

Haya makundi matatu ni muhimu kuyatenganisha.
 
Haya makundi matatu ni muhimu

Kuna watu wame define uchawa kuwa ni lazima ufanye promo kwa kutegemea kitu fulani hivi kama malipo, fadhila, uteuzi.
Hapa ongezea kujikomba/kujipendekeza tu ilimradi aonekane naye yumo.
Bila shaka kwa mtazamo wangu hiyo yaweza kuwa tafsiri sahihi.
 
Back
Top Bottom