milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,284
- 8,431
Wewe sio chawa wa chadema?Uchawa ni aibu
Hata wanae piaAibu kwake na kwa wazazi wake
Anautafuta huo u RC au DC ili awe na mamlaka, aweze kuendesha biashara na mali zake kwa uhuru.Ukuu wa mkoa au wilaya unatafutwa hapo.
Ngozi nyeusi hata kama ilikuwa kwenye nafasi nzuri kiasi gani ya kunawiri itacheza na tope mpaka kurudi kuanza ground zero.