peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Acha kujadili watu, wewe tafuta maisha yako kama sio mtanzania kwani wewe ni mtanzania?Salim Kikeke ambaye alikuwa mtangazaji wa BBC ni Raia wa Tanzania?
Hili nimeliuliza ili kuwaachia watu wa Vetting kazi ya kufanya week end hii!
Niwatakie jumapili njema.
Ili ikusaidie nini? Ji Mtanzania ndiyo Mpare wa kule milimani! Unataka nini sasa?Salim Kikeke ambaye alikuwa mtangazaji wa BBC ni Raia wa Tanzania?
Hili nimeliuliza ili kuwaachia watu wa Vetting kazi ya kufanya week end hii!
Niwatakie jumapili njema.
kwanza naona kama mhuni vile .mtu at 45 years hana mke why?
Relationship Statistics of Salim Kikeke
What is Salim Kikeke marital status?
Salim Kikeke is single.
mbona unatoa povu la kijinga hivyo, kuna ubaya gani huyu mdau kuuliza uraia wa kikeke wakati kuna trending huenda huyu jamaa akale shavu nene kwenye nafasi muhimu nchini? Muachage kutoa mapovu ya namna hii kwa wanaohoji mambo muhimu ya nchiAcha kujadili watu, wewe tafuta maisha yako kama sio mtanzania kwani wewe ni mtanzania?
Ni wa DRC Congo?Salim Kikeke ambaye alikuwa mtangazaji wa BBC ni Raia wa Tanzania?
Hili nimeliuliza ili kuwaachia watu wa Vetting kazi ya kufanya week end hii!
Niwatakie jumapili njema.
Jibu hoja, kama huna hoja Kaa kimya. Salm Kikeke ameo mke Mwingereza, which means automatically ni RAIA wa uingereza ! Je uraia pacha unaruhusiwa Tanzania???Acha kujadili watu, wewe tafuta maisha yako kama sio mtanzania kwani wewe ni mtanzania?