Salim Kikeke ni Raia wa Tanzania?

Salim Kikeke ni Raia wa Tanzania?

kwanza naona kama mhuni vile .mtu at 45 years hana mke why?

Relationship Statistics of Salim Kikeke​

What is Salim Kikeke marital status?
Salim Kikeke is single.
Hahahaaaa!!! Una hakika kuwa jamaa hana mke !! Hana watoto?!!

Kwa imani ya Dini yake anaruhusiwa kuwa na wake wanne. Jipitishe pitishe kwake huenda ukawa wife material wa pili.

Hahahahaaaa !!!!!
 
Imewahi Kusemekana ana Uraia wa Uingereza hivyo yumkini aliukana Uraia wa Tanzania. Hii ni Kwa sababu Tanzania Haina Uraia Pacha.

Yawezekana Asili ya Salim Kikeke ni Mbeya Tanzania.

Endapo hiyo nafasi haihitaji mtu mwenye Uraia Pacha na aliyeukana Uraia wa Tanzania basi Kikeke hastahili. lakini kama ataukana Uraia wa Uingereza na kuurudia Uraia wa Tanzania ni vyema tumpe hiyo nafasi endapo inafaa. Wanamedani watatusaidia hapa.
 
Jibu hoja, kama huna hoja Kaa kimya. Salm Kikeke ameo mke Mwingereza, which means automatically ni RAIA wa uingereza ! Je uraia pacha unaruhusiwa Tanzania???
Wewe ndo ulio mvua utanzania? Kwa kuoa
 
kwanza naona kama mhuni vile .mtu at 45 years hana mke why?

Relationship Statistics of Salim Kikeke​

What is Salim Kikeke marital status?
Salim Kikeke is single.

Jamaa ana mke mzungu na watoto
 
Salim Kikeke ambaye alikuwa mtangazaji wa BBC ni Raia wa Tanzania?

Hili nimeliuliza ili kuwaachia watu wa Vetting kazi ya kufanya week end hii!

Niwatakie jumapili njema.
Kwani mnashindanishwa naye kwa ile kazi?
Unahisi anakupita sifa so umeleta kasoro awekwe pembeni?
 
Kama ni mzaliwa tu inatosha!!

Kwani ambaye hapa ni kwao halisi ni nani!!?zaidi ya mgogo na mnyamwezi!!?

Wengine wote tu wazaliwa tu tukitaka kujua mababu zetu walitoka wapi aiseh hapatoshi KABISA AAAAAAAH!!!
 
Salim Kikeke ambaye alikuwa mtangazaji wa BBC ni Raia wa Tanzania?

Hili nimeliuliza ili kuwaachia watu wa Vetting kazi ya kufanya week end hii!

Niwatakie jumapili njema.
Mmeanza kumsagia kunguni jamaa ili asile shavu kutoka nyumba nyeupe
 
Jibu hoja, kama huna hoja Kaa kimya. Salm Kikeke ameo mke Mwingereza, which means automatically ni RAIA wa uingereza ! Je uraia pacha unaruhusiwa Tanzania???

Mkuu kuwa na mke au mume muingereza ndio imaanishe una uraia wa Uingereza?

Mtu wa namna hii atapata uraia hadi atapoomba hivyo...
 
Back
Top Bottom