Salim Kikeke ni Raia wa Tanzania?

Salim Kikeke ni Raia wa Tanzania?

kwanza naona kama mhuni vile .mtu at 45 years hana mke why?

Relationship Statistics of Salim Kikeke​


What is Salim Kikeke marital status?
Salim Kikeke is single.
Ndoa sio kipaumbele Cha Kila mtu usipende kukariri maisha, au unataka akuoe?
 
mbona unatoa povu la kijinga hivyo, kuna ubaya gani huyu mdau kuuliza uraia wa kikeke wakati kuna trending huenda huyu jamaa akale shavu nene kwenye nafasi muhimu nchini? Muachage kutoa mapovu ya namna hii kwa wanaohoji mambo muhimu ya nchi
Wanaofanya settings hawajuu uraia wake,ila humu jamvini wanajua?itakusaidia Nini ukijua Kabila lake?kwani wewe Ni mtanzania
 
Wanaofanya settings hawajuu uraia wake,ila humu jamvini wanajua?itakusaidia Nini ukijua Kabila lake?kwani wewe Ni mtanzania
mi ni mtanzania, wazazi wangu nao ni watanzania typically, sina nchi ninayoifahamu zaidi ya Tanzania
 
Back
Top Bottom