Marco Polo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 11,786 Reaction score 18,562 Sep 24, 2023 #41 ZALEMDA said: kwanza naona kama mhuni vile .mtu at 45 years hana mke why? Relationship Statistics of Salim Kikeke What is Salim Kikeke marital status? Salim Kikeke is single. Click to expand... Ndoa sio kipaumbele Cha Kila mtu usipende kukariri maisha, au unataka akuoe?
ZALEMDA said: kwanza naona kama mhuni vile .mtu at 45 years hana mke why? Relationship Statistics of Salim Kikeke What is Salim Kikeke marital status? Salim Kikeke is single. Click to expand... Ndoa sio kipaumbele Cha Kila mtu usipende kukariri maisha, au unataka akuoe?
joe78 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2017 Posts 315 Reaction score 356 Sep 24, 2023 #42 LOTH HEMA said: mbona unatoa povu la kijinga hivyo, kuna ubaya gani huyu mdau kuuliza uraia wa kikeke wakati kuna trending huenda huyu jamaa akale shavu nene kwenye nafasi muhimu nchini? Muachage kutoa mapovu ya namna hii kwa wanaohoji mambo muhimu ya nchi Click to expand... Wanaofanya settings hawajuu uraia wake,ila humu jamvini wanajua?itakusaidia Nini ukijua Kabila lake?kwani wewe Ni mtanzania
LOTH HEMA said: mbona unatoa povu la kijinga hivyo, kuna ubaya gani huyu mdau kuuliza uraia wa kikeke wakati kuna trending huenda huyu jamaa akale shavu nene kwenye nafasi muhimu nchini? Muachage kutoa mapovu ya namna hii kwa wanaohoji mambo muhimu ya nchi Click to expand... Wanaofanya settings hawajuu uraia wake,ila humu jamvini wanajua?itakusaidia Nini ukijua Kabila lake?kwani wewe Ni mtanzania
Y yvegenc prymacov JF-Expert Member Joined Jan 22, 2023 Posts 1,530 Reaction score 1,961 Sep 24, 2023 #43 Wajinga ni wengi sana humu,mtoa mada ana uliza kikeke ana uraia wa nchi gn?
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 18,611 Reaction score 27,615 Sep 24, 2023 #44 joe78 said: Wanaofanya settings hawajuu uraia wake,ila humu jamvini wanajua?itakusaidia Nini ukijua Kabila lake?kwani wewe Ni mtanzania Click to expand... mi ni mtanzania, wazazi wangu nao ni watanzania typically, sina nchi ninayoifahamu zaidi ya Tanzania
joe78 said: Wanaofanya settings hawajuu uraia wake,ila humu jamvini wanajua?itakusaidia Nini ukijua Kabila lake?kwani wewe Ni mtanzania Click to expand... mi ni mtanzania, wazazi wangu nao ni watanzania typically, sina nchi ninayoifahamu zaidi ya Tanzania