Salim Kikeke siyo kwa ubaya ila ni ushauri tu, punguza mbwembwe na mikogo

Ndio ID yake hiyo mkuu lasivyo tutaanza ooh watangazaji wanaigana..kama hawa wa vipindi vya burudani vya mchana redioni.Ama niniiiii!
 
Tabia ya mdudu kaa (usiwe kama kaa)Mi hizo mbwembwe na mikogo ndo napenda halafu sasahivi anavaa kibleza cha rangi tofauti na suti yake anapendezaje sasa?Nimeshawashonea wanangu suti za hivyo hadi raha yaani wanavyopendeza.
 
That's Salim Kikeke.

Hayo yote unayoyasema no 1-7 ndio yanayomfanya awe Salim Kikeke...ndio identity yake inayomtambulisha kwa watazamaji..

Ndio UNIQUENESS yake ukimfananisha na watangazaji wengine..

Kwako inaweza kuwa kero lakini kwa wengine ni OK sana tu..

Ulitaka awe kama yule Gabriel Zacharia wa TBC anaetoa macho kaa anataka kutoka nje ya screen..??!
 
Kwa taarifa yako, tunampendea mikogo hiyo
 
Chuki binafsi tu nothing more. Halafu nakuamini sana mkuu sijui kwanini unajishusha ni vitu vya kipuuzi kama hivi. Acha wivu wa kike mkuu utunze heshima yako. Nyeupe nyeupe nyeusi nyeusi.
 
Katoka mbali sana huyo jamaa usimuone hivo..mwache tu aonyeshe hio mikogo
Maisha mazuri...anavuta hewa nzuri , analipwa in pounds ..mke mzuri, watoto wazuri...kaz nzuri shirika la utangazaji kubwa ulimwenguni...ana wa inspire waandishi wa habar wengi tu hata vijana
 
Maaaaraooooo wa ITV musoma
 
Nx Lionel messi huwa hivyo maana na yeye ni mfupi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…