Salim Kikeke siyo kwa ubaya ila ni ushauri tu, punguza mbwembwe na mikogo

tatizo la waafrica hatupendani
 
Hiyo aya ya mwisho ndo imevunja mbavu walah.
 
Kakuchukulia mke?ase una wv ule was kichawi hasa
 
Hizo mbembwe ndizo zinanifanya niangalie BBC swahili
 
Mkuu tuko pamoja haswa kwa huyo maratu, hivi mzima yule? Nachukia ongea yake hadi wanangu wa chekechea hua anashika remot kupunguza sauti kwani akimwacha hadi amalize huwa nachefukwa na utazamaji wa taarifa huishia hapo! Genta mie ni shabiki wa maandiko yako megi, ila kwenye hili la kumsema kikeke nakuacha na wana liva wemzio, mie mwekundu hadi damu!
 
umempasha vizuri, ukimuweka na taarabu ya SANAMU LA MICHELIN itapendeza kabisa
 


Kijana tata wa Dar, ukiona vipi basi jaribu kubadilika wewe. Binadam kila baada ya miaka 7 tuna evolve, sasa unataka Kikeke abakie vile vile tu? Hii tabia uliyonayo ni ya kichawi, dizani ya watu wa Kigoma ama Sumbawanga, si vizuri.
 
Nadhani una zaidi ya Wivu aisee
 
Watu karibu wote wanampenda kikeke..na ni role model wa watangazaji kibao!..angalia usijekuwa mchawi mkuu!
 
Mbona kawaida means anafurahi anachokifanya na anaipenda kwa dhati kazi yake
Huku bongo ukiwa ofisin watu wamenuna hawapendi kazi zao
 
Simpendi huyu mtangazaji akifatia na Millard Ayo yani hawa ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…