Salim Kikeke siyo kwa ubaya ila ni ushauri tu, punguza mbwembwe na mikogo

Kama ww nimwanaume jitafakari .ila kama mwanamke sombaya .
 
Hiyo mikogo ndio usaalimukikeke sasa wala asiache inampendezea sana ndo mana wanaiga!.....hapana chezea kikeke....
 
Mtoa mada salim ana shule sasa wewe endelea na majungu kalaghabao wewe
 
Kamuambukiza ndugu yake Mmoja wa clouds tv anaitwa Harris kapiga dah Yule ndo anaboa sasa
 
Napenda the guy yale yote ayafanyayo akiwa live....huwa uso wangu unajaa bashasha.


Mimi ni Salim Kikeke nikiwa hapa Landannnnn.


Tunatofautiana
 
"Ulipoianza safari, walikutia Moyo, Unapoonesha mafanikio wanainua vikwazo, maadui ni wengi katika maisha yako, unachotakiwa baba SONGA MBELE...." in Bahati Bukuku's voice.
 
Mleta mada unataka atangaze kwa pozi za wasoma risala au TBC?

Acha chuki zisizo na maama!uchawi ndio unavyoanzaga hivi.....unamchukia mtu asiyekuhusu,nadhani utafurahi ukisikia ametimuliwa huko Ulaya au BBC swahili imehamia Ubungo.

Badilika kijana.
 
Hizo kazi za kuchamba na kuchambua watu ni za wa tu wa upande wa pili chukua maudhui tembea
 
Wewe mwenyewe mtoa maada ubadilike maana una tabia ya kujifanya kila kitu uko sahihi na kujifanya mjuaji sana na hupendi kukosolewa.
 
Acha wivu unataka atangaze kama robot! kwani kuzungusha kalamu ni u sharo! acha wivu wa kishamba wewe.
 
Kweli Bongo bahati Mbaya, yani watu wamekalia Majungu tuuu na kutafuta upenyo wa kukosoa wenzao Duh
 
Wewe mwenyewe mtoa maada ubadilike maana una tabia ya kujifanya kila kitu uko sahihi na kujifanya mjuaji sana na hupendi kukosolewa.

Ukimaliza naomba uniambie tafadhali ila fahamu tu ya kwamba ukiona GENTAMYCINE ' anakukosoa ' jua kuna mahala umekosea / umekengeuka hivyo jitathmini. Nilichobarikiwa pekee na Mwenyezi Mungu ni kuwa na ' maono ' na uwezo wa kutosha kwa kujua kutumia vizuri ' Ubongo ' wangu niliopewa na Maulana katika kusaidia mambo ya Kijamii. Siku zote ukiwa Ngumbaru / Mjinga na una IQ ndogo kama ' Punje ' ya mchele hutoweza kumuelewa ' Purely Talented and Charismatic Fella '.
 
Huna lolote wivu tu umekujaa
 
Huna lolote wivu tu umekujaa

Kutuma ' post ' mbili na ambazo zinafanana tena mfululizo ni Kielelezo tosha cha Upungufu mkubwa wa Madini ya Akili ambayo Mwanadamu aliyekamilika anapashwa kuwa nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…