Salim Kikeke siyo kwa ubaya ila ni ushauri tu, punguza mbwembwe na mikogo

Mbona wwe unaandika na mi alama ya uandishi ya ajabu ajabu hatukuambii,

Lakini cha Kushangaza bado unanifuatilia humu Jamvini ( JF ) kila uchao / siku. Kweli GENTAMYCINE ni ' Purely Talented and Charismatic Fella '.
 
Muongo wewe.
 
mi binafsi nilimgundua kitambo anapenda sifa tangu aingie uk ni mshamba fulani halafu ana mbwembwe za kizamani sana
 
mi binafsi nilimgundua kitambo anapenda sifa tangu aingie uk ni mshamba fulani halafu ana mbwembwe za kizamani sana

Ukiona Mtu anasemwa / anakosolewa na GENTAMYCINE jua kuna tatizo la msingi na anatakiwa kubadilika. Na sijaanza tu kumsema Yeye bali nimekuwa nikiwakosoa / kuwasema mno Watangazaji hasa wa Runinga ( Television ) mbalimbali humu Jamvini ( JF ) na mapungufu yao ya Kiuweledi ( Profession ) na namshukuru Mwenyezi Mungu karibia wote wamebadilika na wamefuata niliyowashauri. Kwa yule atakayebisha hili atafute threads zangu zote ambazo nimewaanzishia Watangazaji fulani humu kisha awatizame na wanavyotangaza sasa ndipo utagundua kwamba ukosoaji wangu una manufaa Kwao na pengine ninawasaidia hata kuwa bora kama walivyo sasa.

Mkuu nipo pamoja nawe hasa Kimtizamo juu ya huyo Salim Kikeke na tuamini kuwa atabadilika.
 
Mipasho tu!!
 

Mzee Baba upogo
 
Hahahaa....
Kweli achukiwe mleta mada na siyo mchangiaji!
Mie namuona yuko safi tu mbona..
 
Salim Kikeke na BBC ni kama uji na mgonjwa ....jamaa ni mtaalamu na anaitendea haki taaluma yake !Tuseme ukweli watangazaji wooooote wa bbc swahili wapo VIZURI!
Wivu umekujaa mleta uzi ...jamaa WAPO majuu sio mikocheni pale!
VIVA KIKEKE..VIVA BBC SWAHILI...LONG LIVE BBC SWAHILI!
 
Mzee Baba upogo

Ha ha ha ha ha ha.... Comrade wangu nipo sana tu na nimejaa tele ila Wewe tu ndiyo umepotea mno humu Jamvini sijui CDF amekubana na Majukumu ya hapo Makao Makuu Upanga. Huwa nakuwepo sana humu 24/7 Saa 4:00 hadi Saa 5:00 asubuhi, kisha Saa 9:00 hadi Saa 10:00 na usiku Saa 4:00 hadi Saa 6:00 na ukinikosa hiyo mida jua nimepatwa na dharula au nimebanwa na harakati zingine.

Hopefully hujambo lakini Kamarada ( Comrade ) wangu mkubwa wa kutoka SAUT Mwanza.
 
Umesomeka mkuu! Ntakutafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…