Salim Kikeke: Wawekezaji wanakwepa kuwekeza Tanzania kwa sababu ya msururu wa kodi pamoja na Urasimu

We unafanya biashara gani mkuu?
 
Huyu Salim Kikeke na Redio yao hii Crown Media wako juu sana na wanakuja kwa kasi kubwa kwani interview zao zimeenda mbali.

Sikiliza huu mjadala mpaka mwisho.
View attachment 3080039
Hivi kwa utaratibu wa Muungano wa Tanganyika & Zanzibar, mikopo si ni suala la Muungano...?

Na kwamba JMT ikikopa kiasi chochote basi 4% ndiyo mgawo unaopaswa kwenda Zanzibar na 96% inabaki Tanganyika....?

Imekuwaje 400B zote zimeenda Zanzibar....??????
 
Zipi hizo na ni lini?
 
Nikweli Tanzania watu hawalipj nakubaliana na wewe,
Walipa kodi wako mi3 kati ya watu 62m
Hizi takwimu gani
  • Do you mean ilitakiwa mpk watoto wa chini ya 18 walipe kodi?.
  • Sema wenye uwezo wa kufanya kazi
 
Mkuu, mie pia nimeshangaa mno.
Ila nadhani hawa wahuni wanaotetea ujinga humu ni machawa, maana uchawa na uongo ni kama samaki na maji
 
Hii IPO deep sana ila kuielewa wala hauhitaji D2 za Kiswahili na Hesabu Hesabu umekula msuaki basi TOA Hesabu weka Uraia

#kaributuleskanka kwa afyabora ya akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…