Salim Kikeke: Wawekezaji wanakwepa kuwekeza Tanzania kwa sababu ya msururu wa kodi pamoja na Urasimu

Salim Kikeke: Wawekezaji wanakwepa kuwekeza Tanzania kwa sababu ya msururu wa kodi pamoja na Urasimu

Kodi gani wahuni tu kama walivyo wafanyabiashara wa Kitanzania.
Tanzania watu hawalipi kodi sio wazawa wala wageni,na wachache wanaolipa zinaishia mifukoni mwa Officers wa TRA na Politicians wakiwemo viongozi wenu wakuu wa Nchi.
Ni mjinga na mpumbavu pekee anaweza sema Tanzania kuna msururu wa kodi.
We unafanya biashara gani mkuu?
 
Huyu Salim Kikeke na Redio yao hii Crown Media wako juu sana na wanakuja kwa kasi kubwa kwani interview zao zimeenda mbali.

Sikiliza huu mjadala mpaka mwisho.
View attachment 3080039
Hivi kwa utaratibu wa Muungano wa Tanganyika & Zanzibar, mikopo si ni suala la Muungano...?

Na kwamba JMT ikikopa kiasi chochote basi 4% ndiyo mgawo unaopaswa kwenda Zanzibar na 96% inabaki Tanganyika....?

Imekuwaje 400B zote zimeenda Zanzibar....??????
 
Zipi hizo na ni lini?
 
Nikweli Tanzania watu hawalipj nakubaliana na wewe,
Walipa kodi wako mi3 kati ya watu 62m
Hizi takwimu gani
  • Do you mean ilitakiwa mpk watoto wa chini ya 18 walipe kodi?.
  • Sema wenye uwezo wa kufanya kazi
 
Hapa tu jf ukiangalia comment za watu ndo utajua nchi hii ina machizi kibao.Acha viongozi wale maisha km wananchi wenyewe ni machizi kiasi hiki 🥱🥱.
Hivi mnao sema tz wanao lipa kodi ni wachache vichwani mwenu mna mavi?
Kodi za Majengo,mitandao ya simu na bidhaa tunazo nunua kama maji bia nk..hazijakatwa kodi ama nyie kodi mpaka mpigiwe hodi lipa kodi ndo mjue mnalipa kodi?
Hapo tu unatumia bando hilo bando umelilipia koditayari ..sasa kodi mnazo taka ndo mjue mnalipa kodi ni zipi labda ...Eti wanao lipa kodi ni milion tatu dah ??? Acha tupigwe tu akili hatuna km kodi ya gari tu ni sawa na bei ya gari bado mtu anaibuka anasema tz hatulipi kodi,🥵Hebu ninyamaze mie.
Mkuu, mie pia nimeshangaa mno.
Ila nadhani hawa wahuni wanaotetea ujinga humu ni machawa, maana uchawa na uongo ni kama samaki na maji
 
Kodi gani wahuni tu kama walivyo wafanyabiashara wa Kitanzania.
Tanzania watu hawalipi kodi sio wazawa wala wageni,na wachache wanaolipa zinaishia mifukoni mwa Officers wa TRA na Politicians wakiwemo viongozi wenu wakuu wa Nchi.
Ni mjinga na mpumbavu pekee anaweza sema Tanzania kuna msururu wa kodi.
Hii IPO deep sana ila kuielewa wala hauhitaji D2 za Kiswahili na Hesabu Hesabu umekula msuaki basi TOA Hesabu weka Uraia

#kaributuleskanka kwa afyabora ya akili
 
Back
Top Bottom