Salim Kikeke: Wawekezaji wanakwepa kuwekeza Tanzania kwa sababu ya msururu wa kodi pamoja na Urasimu

Salim Kikeke: Wawekezaji wanakwepa kuwekeza Tanzania kwa sababu ya msururu wa kodi pamoja na Urasimu

Raia tuna haki na dhima ya kukumbushana wajibu wetu wa kulipa kodi....

Inawezekanaje tukauendesha uchumi tuutakao kwa WALIPA KODI MILIONI 3 kati ya sisi raia milioni 62?!!!

Tunataka nchi itufanyie....imeshatufanyia sana mathalani AMANI NA UTULIVU TULIONAO tukiendelea kubangaizia shughuli zetu bila bugdha kama Somalia ,Burundi ,Rwanda na Sudan....

Swali....

Je tumeifanyia nini NCHI YETU ?!!

Je tunaifanyia nini NCHI YETU ?!!

Hapa ndipo ilipo MIILI YETU tukiwa hai ,na makaburi yetu tukizikwa na MIZIMU YETU baadaye haitozungukia Uganda ,Kenya wala Malawi bali nyumbani Tanzania[emoji7]

#Tutafakari
Kama Mama anazunguka duniani Halali Usingizi anatafuta fedha kwa ajili ya miradi ya maendeleo ya Jamii. Kama fedha zikipotea Kwa majibu wa repoti ya sieijii tunaambiwa watu wamekula fedha za mama. Kama mama anawataka viongozi na watumishi wale kwa urefu wa laana. Kama Lucas Mwashambwa kila siku anasema mama ametifikia wengi tububujikwe na machozi. Kama Hakuna mtu anayewajibishwa kwa rushwa na ubadhirifu wa mali za umma Licha ya mambo kuelewa bayana kila uchwao. Nani ataona na kuwa na sense of ownership ya nchi yake (nchi ni ya mama) Nani ataona umuhimu wa kukupa kodi wakati tupo mtu asiyelala (mama anayetafuta) fedha kwa ajili yetu! Siku wananchi walikua wajibu wao Kwa serikali na serikali ikajua wajibu wake Kwa wananchi, Na ulipaji kodi ukaakisi maendeleo ya utoaji huduma kwa Jamii na serikali ikatofautisha kuongeza kodi, kupanua wigo wa kodi na kuongeza walipa kodi tunakua tumepiga hatua! Usisahau kodi ya jengo imeongezeka na Hakuna tena taarifa juu ya tozo na matumizi yake kila mwezi! (rushwa ya takwimu)
 
Huyu Salim Kikeke na Redio yao hii Crown Media wako juu sana na wanakuja kwa kasi kubwa kwani interview zao zimeenda mbali.

Sikiliza huu mjadala mpaka mwisho.
View attachment 3080039
Ni upuuzi na uongo kusema Wana kwepa kuwekeza wakati kiuhalisia wanawekeza.

Yeye angesema wawekezaji wengi zaidi Wana tatizwa na hicho alichosema vinginevyo anaongea ujinga tuu 👇👇

View: https://twitter.com/InvestTanzania/status/1827648798304182588?t=KdaTL8VeV3M7EU0hHmXttA&s=19

View: https://twitter.com/InvestTanzania/status/1827300843252535549?t=xhrqZOHafAwZGzO0oHrRWg&s=19

My Take: Kimedia uchwara hicho
 
Raia tuna haki na dhima ya kukumbushana wajibu wetu wa kulipa kodi....

Inawezekanaje tukauendesha uchumi tuutakao kwa WALIPA KODI MILIONI 3 kati ya sisi raia milioni 62?!!!

Tunataka nchi itufanyie....imeshatufanyia sana mathalani AMANI NA UTULIVU TULIONAO tukiendelea kubangaizia shughuli zetu bila bugdha kama Somalia ,Burundi ,Rwanda na Sudan....

Swali....

Je tumeifanyia nini NCHI YETU ?!!

Je tunaifanyia nini NCHI YETU ?!!

Hapa ndipo ilipo MIILI YETU tukiwa hai ,na makaburi yetu tukizikwa na MIZIMU YETU baadaye haitozungukia Uganda ,Kenya wala Malawi bali nyumbani Tanzania[emoji7]

#Tutafakari
NJia siyo kumkwamua huyu aliyekuwepo kwenye mfumo ,waangalie njia ya kupanua wigo wa kodi, unaweza kuweka kupitia ununuzi wa simu, line ya simu au umeme ili kila mtu anayeishi tanzania alipe kodi
 
We couldn"t care less about foreign investors. We have never benefited from them.

We don't give a flying fvck about wawekezaji.
 
Kodi gani wahuni tu kama walivyo wafanyabiashara wa Kitanzania.
Tanzania watu hawalipi kodi sio wazawa wala wageni,na wachache wanaolipa zinaishia mifukoni mwa Officers wa TRA na Politicians wakiwemo viongozi wenu wakuu wa Nchi.
Ni mjinga na mpumbavu pekee anaweza sema Tanzania kuna msururu wa kodi.
tanzania ni linchi linajiendea bila kichwa.
 
Hamna wawekezaji hapo ni matapeli tu hao.

Serious investors wanafahamika tu.

Mbona Dangote kaja na kujenga kiwanda chake anafanya biashara na kupata faida??

Sioni haja ya kubadili sheria zetu ili kuruhusu malaghai na matapeli yaje kutuibia.
Hujui kitu,Dangote Ali work under mazingira maalumu aliyohakikishiwa na JK na alipokuja Mwendazake alitaka kufunga kiwanda.
 
Back
Top Bottom