PreGE2025 Salim Mwalimu aliyejiondoa CHADEMA: Lissu, Heche na Mnyika walikuwa wananichukia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Kwanza ningependa kumpongeza Charles William kwa kufanya mahojiano yenye level kubwa sana ya professionalism.

Yaani ameweza kuuliza maswali kwa huyu Salim Mwalim mpaka akaanza kujikanyaga kanyaga akiwa live.

Soma pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akiwa kwenye mahojiano Wasafi FM, Salum Mwalimu alisema:

"Mimi walikuwa wananichukia hata ukienda watakwambia mi ni msaliti na ilikuwa ni viongozi kwa ujumla wao. Ni ngumu kusema moja kwa moja kwamba walikuwa wananichukia kwenye lipi, sababu ya wao kunichukia wanaijua wao"

Kumbe huyu naye ni kilaza tu anajikanyaga kanyaga tu
 
Back
Top Bottom