Wakuu,
Tukiangalia viongozi wetu wengi walioshika dola kwa sasa hawaongelei suala la hali mbaya ya umaskini nchini,
Rais Samia amekua akifanaya ziara ya kuzindua miradi maeneo mbalimbali nchini akisema namna miradi hiyo imetumia fedha nyingi kuikamilisha, na zaidi kusema kwa sasa nchi yetu...
Wakuu,
Kwanza ningependa kumpongeza Charles William kwa kufanya mahojiano yenye level kubwa sana ya professionalism.
Yaani ameweza kuuliza maswali kwa huyu Salim Mwalim mpaka akaanza kujikanyaga kanyaga akiwa live.
Soma pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.