Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 968
- 1,978
Nauliza Mbona Hawasemi Kitu Hawa Wagombea Kwenye Uchaguzi Mkuu Wa 2025...kipi Kimewapata..?
Si nimesikia wameàmbulia Segerea?Hawaamini meno na macho yao kwa ulaghai waliofanyiwa na mzanzibari mwanamke ambaye aliwahaiikishia kukipatia chaumma wabunge 50. Matokeo yake wameambulia 0 bin 0.
Ok. Kumbe!Si nimesikia wameàmbulia Segerea?
Si nimesikia wameàmbulia Segerea?
Me hata sijui alikoishia sijui kwa minimum au wapi!!Na Yerikco ameishia wapi ......!!?
Hata kama hawakushinda tayari washaweka chao mfukoni, hukumuona Salum Mwalimu alivyokuwa na furaha siku ya uhapisho wa Samia.Nauliza Mbona Hawasemi Kitu Hawa Wagombea Kwenye Uchaguzi Mkuu Wa 2025...kipi Kimewapata..?
Nimesikia ila sina uhakika kama ni kweli.Ok. Kumbe!
Malaya malaya wa kisiasaNauliza Mbona Hawasemi Kitu Hawa Wagombea Kwenye Uchaguzi Mkuu Wa 2025...kipi Kimewapata..?