Akiwa kwenye mahojiano Wasafi FM, Salum Mwalimu alisema:
"Mimi walikuwa wananichukia hata ukienda watakwambia mi ni msaliti na ilikuwa ni viongozi kwa ujumla wao. Ni ngumu kusema moja kwa moja kwamba walikuwa wananichukia kwenye lipi, sababu ya wao kunichukia wanaijua wao"