Salim nakupenda! Kwanini hukunivumilia na unajua nilikuwa mtoto, ukakimbilia kuoa?

Mamamzungu ningekua na mimi sijaoa ningekuoa mke mkubwa ila sababu nimeoa uwe tu mke mdogo maana una huruma sana wewe, na navyopenda wanawake wakarimu, hata chura nawaachia vijana ukarimu unanitosha

Haha Mimi sina huruma hata
 
NB: Mimi na Salim mpk leo hii Hatujawahi kufanya mchezo Mchafu yaani Salim hajaninyandua wala mimi sijanyanduliwa na Salim

Swali: je anaekunyandua kwa sasa una mpango gani nae?
Naam swali zur kabisa[emoji4][emoji106]
 
Sisy ur desperate!rChillax....World has so much to offer achana na Salim hakuwa hatma yako

Hapana sijakata tamaa

Ni vile tu nimewaza huenda ndo mtu sahihi kwangu
Huenda pia sio hatima yangu
 

Una miaka 27 soon unaingia 28
Umri umeenda ila maamuzi utayotoa leo ndo yatayoamua maisha yako
 
🤣🤣
 
Unawaza harusi kubwa wanaume wenyewe wachache kaa mpka uzeek ungemkubali mshikaji ungukua unakula life
 
Mimi mahusiano yangu ni ya kuchart hakuna kunyanduana


Jibu

Hakuna naenyanduana nae nimesahau hayo mambo zamani sana nina zaidi ya miaka 4 [emoji849]
Ina asili fulan ya unafiki na kujisikia, kiufupi huwezi kuishi na mume.
 
Badili dini mm ninao 2 nataka kuongeza 3 hakuna hata 1 aliyekwenda kwa mganga.Hayo Mambo si kwa ajili ya uke wenza hata kwa mke 1 ataenda ili ammiliki mume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…