OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hii ni chaiEsther najua ni ww japo stori umeivunja vunja ili ufiche I'd yako Kuna baadhi ya matukio umeyabadilisha ila matukio muhim uliyo yagusa nauhakika ni wewe hata jina la salim ulilonipa siyo langu
Mamamzungu ningekua na mimi sijaoa ningekuoa mke mkubwa ila sababu nimeoa uwe tu mke mdogo maana una huruma sana wewe, na navyopenda wanawake wakarimu, hata chura nawaachia vijana ukarimu unanitoshaUtakula kwa macho mimi ni kembamba keupeeeee[emoji23][emoji23]
Ni bwege. Mwanaume dhaifu. Kaoa bado anahangaika na wewe. Akitulize huko aliko sio kuweweseka kisa mbunye.Hajawah kuwa bwege [emoji849]
Haujui unataka nini...Nani anaolewa??[emoji23][emoji23]
Shiii mimi nimeomba ushaurii
Hapo......."daily ya mkuu "..... ndiyo ulimaanisha ....."diary ya mkuu".....au.
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Haujui unataka nini...
Shida bado una utoto mwingi
Bado hujakua, itafika muda hata kuwa mke wa 3 nafasi utaikosa
Wewe na huyo Salim wako wote wawili ni wapumbavu.
Kimbaumbau mweupe asie na Tako anajishaua hahahahaa
Swali zur sanaUnataka ushauri gani?
Ni bwege. Mwanaume dhaifu. Kaoa bado anahangaika na wewe. Akitulize huko aliko sio kuweweseka kisa mbunye.
Watu wa Dini tofauti huwa ni incompatible kwasababu mna values tofauti, lazima mmoja awe Bwege na Katika hili Salimu ni BWEGE nambari 1.
Kiushauri tafuta wako yani wako pekee mambo ya kuingia kwenye mke wenza hutayaweza kwa haraka haraka navyokuona,
Kingine swala lipo pale pale mama yako hatakuruhusu ulowe na mtu itikadi za kidini zipo tofauti, mbaya zaidi ajue unaenda kuwa mke wapili kwa hilo mama hatakuelewa kabisa kama tu bado unazingatia maumivu ya mama