mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
- Thread starter
- #81
Kwamba hujawahi kuliwa toka kipindi ukiwa na 23yrs?
Mapenzi mabaya Sanaa nilitulizanaa mpk sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba hujawahi kuliwa toka kipindi ukiwa na 23yrs?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ule wa DeepPond ni pasua kichwa sijui hata amefika nao wapi na kuuacha haweziNimewaza pia
Ila upande wetu huu na kwenyewe ni kuna ile michepuko ya kudumu kama wa [mention]DeepPond [/mention]
0622008764657
Nlikua kuswali Naomba nicheki[emoji16][emoji16][emoji16]
Swali la mwisho, mpaka sasa unaomba ushauri wa kukubali kuwa mke wa pili bi mkubwa yupo wapi? Maana itakubidi ubadili dini kitu ulichokataa kipindi ukiwa na fursa ya kuwa mke mkubwaMapenzi mabaya Sanaa nilitulizanaa mpk sasa
Nahisi ni mkomoaji tuHuyo Salim ana moyo kweli, anatangaza ndoa pasipo kutest mitambo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ule wa DeepPond ni pasua kichwa sijui hata amefika nao wapi na kuuacha hawezi
cha msingi endelea kusimamia msimamo wako moyo wa binadamu ni kichaka niliwahi kutamani kuwa na ndoa na mtu wa dini nyingine kama ya SALIM lkn nilikuja kugundua mbeleni siyo na niliumia pakubwa
hkn jambo gumu kama dini...ni tamaduni mbili ambazo mafundisho yake ni mbingu na nchi ,kuna tofauti kubwa mno ya mafundisho
mama zungu eeh mm mwenyew navgezo kama vya salim na kuhusu din m n mkrsto japo kwenda kanisan n kipengele ila ukinkubalia kwakwel na kuokokea yan nakua bsy na kansa kulko kateksta wa parokia yenu we n kunjulie nafs tu
Achana na Salimu, njoo kwangu mamamzungu.
Nimesoma vzr maelezo yako, kwa kweli nimekupenda. Siwezi kuishi bila wewe
Sawa
Ova[emoji23].Ogopa matapeli
Eti unampenda [emoji28]
Na penzi hujampa
Hujui maana ya kumpenda mwanaume wewe
1st time ulimkataa na sasa unamkataa na hadi leo hajakupapasa
Tafuta unayempenda umri wa utoto ushapita
Ova[emoji23].
Mpe Salimu mbususu tu, no way...
Miaka minne si mchezo!!
Ss mbona bado unamkataa?.. kuwa mke wa piliKupenda na sex mbona ni vitu viwili tofauti
Afu wewe
Swali la mwisho, mpaka sasa unaomba ushauri wa kukubali kuwa mke wa pili bi mkubwa yupo wapi? Maana itakubidi ubadili dini kitu ulichokataa kipindi ukiwa na fursa ya kuwa mke mkubwa
Imani yako iko wapi sasa[emoji23][emoji23].Naogopa kurogwa [emoji1787][emoji1787]
Ss mbona bado unamkataa?.. kuwa mke wa pili
Usingejiuliza
Mkipendana dini sio issue
kikubwa maelewano
Imani yako iko wapi sasa[emoji23][emoji23].
Enewei, kaa kijanja