Salim nakupenda! Kwanini hukunivumilia na unajua nilikuwa mtoto, ukakimbilia kuoa?

Nimewaza pia

Ila upande wetu huu na kwenyewe ni kuna ile michepuko ya kudumu kama wa [mention]DeepPond [/mention]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ule wa DeepPond ni pasua kichwa sijui hata amefika nao wapi na kuuacha hawezi

cha msingi endelea kusimamia msimamo wako moyo wa binadamu ni kichaka niliwahi kutamani kuwa na ndoa na mtu wa dini nyingine kama ya SALIM lkn nilikuja kugundua mbeleni siyo na niliumia pakubwa

hkn jambo gumu kama dini...ni tamaduni mbili ambazo mafundisho yake ni mbingu na nchi ,kuna tofauti kubwa mno ya mafundisho
 
Mapenzi mabaya Sanaa nilitulizanaa mpk sasa
Swali la mwisho, mpaka sasa unaomba ushauri wa kukubali kuwa mke wa pili bi mkubwa yupo wapi? Maana itakubidi ubadili dini kitu ulichokataa kipindi ukiwa na fursa ya kuwa mke mkubwa
 
Eti unampenda 😅
Na penzi hujampa
Hujui maana ya kumpenda mwanaume wewe

1st time ulimkataa na sasa unamkataa na hadi leo hajakupapasa
Tafuta unayempenda umri wa utoto ushapita
 
mama zungu eeh mm mwenyew navgezo kama vya salim na kuhusu din m n mkrsto japo kwenda kanisan n kipengele ila ukinkubalia kwakwel na kuokokea yan nakua bsy na kansa kulko kateksta wa parokia yenu we n kunjulie nafs tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ule wa DeepPond ni pasua kichwa sijui hata amefika nao wapi na kuuacha hawezi

cha msingi endelea kusimamia msimamo wako moyo wa binadamu ni kichaka niliwahi kutamani kuwa na ndoa na mtu wa dini nyingine kama ya SALIM lkn nilikuja kugundua mbeleni siyo na niliumia pakubwa

hkn jambo gumu kama dini...ni tamaduni mbili ambazo mafundisho yake ni mbingu na nchi ,kuna tofauti kubwa mno ya mafundisho

SALIM ananifaa sana yaani ingekuwa ni wa dini yangu ningepiga [emoji3581][emoji3581][emoji3581]

He deserve love
Kijana mzuri Sana namaanisha ana roho nzuri mno ndiyo hivyooo….[emoji849]
 
Achana na Salimu, njoo kwangu mamamzungu.
Nimesoma vzr maelezo yako, kwa kweli nimekupenda. Siwezi kuishi bila wewe
 
mama zungu eeh mm mwenyew navgezo kama vya salim na kuhusu din m n mkrsto japo kwenda kanisan n kipengele ila ukinkubalia kwakwel na kuokokea yan nakua bsy na kansa kulko kateksta wa parokia yenu we n kunjulie nafs tu

[emoji28][emoji28][emoji28]

Mimi naomba ushauri bhn
 
Eti unampenda [emoji28]
Na penzi hujampa
Hujui maana ya kumpenda mwanaume wewe

1st time ulimkataa na sasa unamkataa na hadi leo hajakupapasa
Tafuta unayempenda umri wa utoto ushapita

Kupenda na sex mbona ni vitu viwili tofauti

Afu wewe
 
Swali la mwisho, mpaka sasa unaomba ushauri wa kukubali kuwa mke wa pili bi mkubwa yupo wapi? Maana itakubidi ubadili dini kitu ulichokataa kipindi ukiwa na fursa ya kuwa mke mkubwa

Yaani mpk tunavoongea kila mtu yupo mkoa wake Bi mkubwa yupo kivyake Salim yupo mkoa X kikazi na mimi nipo Mkoa X na shughuli zangu
 
Back
Top Bottom