Salimu Kikeke akipaka Poda.

Salimu Kikeke akipaka Poda.

Labda anataka kuingia studio kubroadcast live. Uislamu na poda wapi na wapi?
 
Mambo ya kujipodoa ni Sunna.
 
Swali lako ni lipi?
Uislamu unasemaje kuhusu mwanaume kupaka poda?..AU
Uislamu unasemaje kuhusu matumizi ya poda?.
 
hata wanja ni sunna. wanaume anzeni kupaka
 
Msipende kuleta udini katika kila kitu. Na nina hakika alieleta thread hii sio muislam kwasababu muislam hawez kuuliza upuuzi kama huu
 
Uislaam unasemaje juu ya hili.



Ohoooooo, wanaanzaga hiv hivi hawa.....mara poda, lipstick, kisha atatoka hapo kwenda kusikiliza taarab na bongo fleva, mwisho wa siku tutasikia kaolewa na njemba la kizungu.
 
Ulikuwa unampaka wewe?[emoji2]

Mbona unajishushia hadhi Dada, mi nilikiwepo vipi kipindi cha Mtume?, au unaona ajabu?, vitu vitatu alikiwa akivipenda sana, Uturi, Wanja na hinna kwenye Ndevu
 
Back
Top Bottom