Salimu: Looking for a girlfriend/Mchumba

Salimu: Looking for a girlfriend/Mchumba

Kiukweli sijawahi kuwa katika r'ship, ila kuanzia sasa naona uzalendo unanishinda kwakweli. Kuhusu sura yangu nadhani muhusika ataiona tu pale tutakapo kutana at first time.
Kwa hiyo hujawahi hata ku-do? Umri wote huo huijui hata K inafananaje? Embu edit hicho kipengele kaka, wanawake wa siku hizi wanapenda "shughuli", namna hiyo watakukimbia mkuu.
 
Kuweka makabila siyo ishu kivile,coz miaka ya siku hizi makabila is nothin,tabia na mtu alivyo matters.
Unaweza kukuta mtu anavigezo vyote but siyo kabila ulizotaja.
Au mtu anashida ya kuolewa tu so akavaa uhusika wa vigezo vyako..akakutenda.
(mshirikishe SANA MUNGU).

Kuhusu hujawah kudinyana, inawezekana kweli but kwa nielewavyo watu wengi hawaamini,ama watakusoma tofauti so hicho kipengele,em kiedit usiweke kitu..ukimpata utamwambiaga !
All the best!
 
Ahsante kwa ushauri, I will do it
 
Kwa hiyo hujawahi hata ku-do? Umri wote huo huijui hata K inafananaje? Embu edit hicho kipengele kaka, wanawake wa siku hizi wanapenda "shughuli", namna hiyo watakukimbia mkuu.

Ahsante nimekusikia mkuu
 
Mkuu kama nilivyosema hapo awali, kazi ninayofanya ni temporary bado sijapata ajira ya kudumu, na kiasi ninachopata kwa kweli hata kwa mahitaji yangu tu binafsi bado ni kidogo napia nadhani sio vema kila mtu afahamu kuwa napata kiasi gani, ila kutokana na umri nilionao sasa naona sina jinsi inabidi tu niwe na mchumba ambae Mungu akipenda tuwe kitu kimoja hapo baadae.

Kila la kheri.
 
Jina lako linafanana na la mchumba wangu roho ilifanya paaaa
waego utapata tu
 
Where are you my love? I am here waiting for you...
 
myheart.jpg

I'm waiting for you baby.......
 
A good relationship is when someone accepts your past, supports your present and
encourages your future........still waiting....
 
Ustaaaaaaaz unataka kuhalalisha zinaaaa?

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom