Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
kila lenye heri Mwenyezi atakujalia lile umwombalo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani wakoje mkuu?
Mkuu naomba unieleweshe bwana, mimi nawafahamu kiasi tu, sijakusoma!! kama vipi nitumie tu hata PM mzee
Kwa hiyo hujawahi hata ku-do? Umri wote huo huijui hata K inafananaje? Embu edit hicho kipengele kaka, wanawake wa siku hizi wanapenda "shughuli", namna hiyo watakukimbia mkuu.Kiukweli sijawahi kuwa katika r'ship, ila kuanzia sasa naona uzalendo unanishinda kwakweli. Kuhusu sura yangu nadhani muhusika ataiona tu pale tutakapo kutana at first time.
Kuweka makabila siyo ishu kivile,coz miaka ya siku hizi makabila is nothin,tabia na mtu alivyo matters.
Unaweza kukuta mtu anavigezo vyote but siyo kabila ulizotaja.
Au mtu anashida ya kuolewa tu so akavaa uhusika wa vigezo vyako..akakutenda.
(mshirikishe SANA MUNGU).
Kuhusu hujawah kudinyana, inawezekana kweli but kwa nielewavyo watu wengi hawaamini,ama watakusoma tofauti so hicho kipengele,em kiedit usiweke kitu..ukimpata utamwambiaga !
All the best!
Mkuu kama nilivyosema hapo awali, kazi ninayofanya ni temporary bado sijapata ajira ya kudumu, na kiasi ninachopata kwa kweli hata kwa mahitaji yangu tu binafsi bado ni kidogo napia nadhani sio vema kila mtu afahamu kuwa napata kiasi gani, ila kutokana na umri nilionao sasa naona sina jinsi inabidi tu niwe na mchumba ambae Mungu akipenda tuwe kitu kimoja hapo baadae.