miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
imekula kwakeWaganga wa kienyeji washenzi sana. Wamemuaminisha bwana mdogo kuwa yeye ni mkubwa kuliko msanii yeyote duniani. Maskini ya mungu na yeye kayachukua hivyo hivyo. Busara pekee iliyobaki ni yeye kukubali kuwa alifanya aliyoyafanya tayari apishe wenzie sana.