hometown
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 939
- 1,311
Da kwa hiyo dogo kiba ndie ajielewi mkuu?!Tatizo sio manager tatizo ni Kiba mwenyewe,management ya Kiba ndio ya JayDee na Baraka.Umewahi kusikia huo upuuzi toka kwao ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Da kwa hiyo dogo kiba ndie ajielewi mkuu?!Tatizo sio manager tatizo ni Kiba mwenyewe,management ya Kiba ndio ya JayDee na Baraka.Umewahi kusikia huo upuuzi toka kwao ?
Ha ha ha ha ha lolHAHAHAHAHAH umenipasua mbavu...duuu jf raha tupu cc Evelyn Salt binti kiziwi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nimecheka hii kitu mpaka nmekaa chiniUmemuona salaam backstage unalalamika ungemuona scorpion au mwalimu mwesigwa frank si ungekimbia mbio kama umekanyaga moto
Jana niliona report kua TZ inawatu weng vichaaNadhani Ali Kiba ana matatizo ya akili.
Au amefikia climax point....
Da kwa hiyo dogo kiba ndie ajielewi mkuu?!
hebu msome tena salaam maana nahisi hujamuelewa kbisaa.sjui ulikua na haraka ya nini ya kucomment??!!Salam apande pale au awe back stage wakati hausiki io ni ushoga alafu salaam anataka kujifanya manager wa wizkid tena ha ha ha ha kwa kweli hii ni kali
Ni kweli kwenye hili ALIKIBA anapata faida sana kuliko Diamond na ndio maana hata kwenye vurugu Diamond ndio huathirika sana,nilifurahi alipo ingia mkataba na Vodacom kwani fiesta hatoonekana kwani najua ambacho kingetokea kisingekuwa kizuri kabisa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] JF bwana! Anyways tumsamehe kijana wetu kiba jamani, sio mtu wamajigambo, hana maringo, hana show off, ana vingi ila hapendi kuvionesha, bottom line ana roho nzuri sana heheh.
Ila nimeshindwa kushangaa kwanini ameshindwa kuficha chuki ya wazi, watu wote waliokuwa back stage kamuona mendez na kuamua kumzungumzia vibaya. Hili bifu hewa linafaida nyingi kwa kiba, mi naomba liendelee.
No Ali Kiba hajafika mwisho, bado kijana mdogo ana nafasi nzuri ya kufanya vizuri, kitu kikubwa cha kumshauri ni kwamba aache majivuno na chuki za kijinga, nampenda Diamond he is a Realman, Ali kuna wakati huwezi kumuelewa, Haifai mwanaume kuwa na jealous sana.Nadhani Ali Kiba ana matatizo ya akili.
Au amefikia climax point....
Kiba ananufaika na hii bifu lakini anapitiliza sasa huu si uungwana...Mchawi wa Kiba ni yeye mwenyewe sio mtu wa kusikiliza ,kujifunza na kufuata ushauri wa watu.Hii kick ya Diamond inambeba sana ndio maana hawezi acha.Jaribu kusikiliza interview za Kiba
1.Alihojiwa na Milard Ayo
2.Alihojiwa na Spora
3.Hiyo ya juzi ya Mambo mseto
Then tafuta za Diamond utagundua tatizo la Kiba
Kwani hao milioni sita wengine hawamo humu?Ni mmoja kati ya wale watanzania milion nne na nusu wanaougua uchizi
Le pro-pesa lipu[emoji1] [emoji1] [emoji1] mbavuAlikiba nadhani vinasaba vyake vinafanana Na vya Yule Prof.wa chama Fulani hivi!
pia upande wa kiba kutaka wizkid aanze yy afuate ni sahihi kutokana na mazingira kiba mombasa ni km nyumban so anakubalika sn na anafahamika sn zaid ya wizkid hata km show ingefanyk nigeria lzm kiba apande afu wizkid afuate sasa nyie mnazan km kila siku ww ndo unatolewa jamvi la kusafisha stage mda mwngn lzm ukatae il uinue hadhi yk naomba aman kwa timu hiz jaman tunajiaaibisha kila siku
Jana niliona report kua TZ inawatu weng vichaa
MAY BE KIBAKULI NIMIONGONI
maana mtu timamu hawez sema vile atakama waogopa vip
Sasa mkuu na wewe hapo umeshauri nini?au ndio umepita mulemuleNaona comment nyingi ni za ki team na sio positive nilitegemea kuwa watu mngetoa ushauri unaojenga ili kufanya wasanii wetu warekebishe pale palipo na tatizo but naona ni discouragement zaidi. Kiba amekosea kama wasanii wengine ambavyo hufanya kwani hata Mondi kuna fiesta moja iliwahi fanyika humu nchini na kalalamika kuwa kafanyiwa ushirikina baada ya kuona washabiki hawa respond vizuri.