Sallam aeleza ukweli wa tukio la show Mombasa

Sallam aeleza ukweli wa tukio la show Mombasa

Tatizo sio manager tatizo ni Kiba mwenyewe,management ya Kiba ndio ya JayDee na Baraka.Umewahi kusikia huo upuuzi toka kwao ?
Da kwa hiyo dogo kiba ndie ajielewi mkuu?!
 
Umemuona salaam backstage unalalamika ungemuona scorpion au mwalimu mwesigwa frank si ungekimbia mbio kama umekanyaga moto
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nimecheka hii kitu mpaka nmekaa chini
 
Talk of the town hapa KE. Kiba anayo wapenzi Kenya usiseme zaidi ya gor na ingwe. Mashabiki wa Kiba wamechukia ,bahati nzuri venue mlikuwa hamna Viti vya plasitiki vya kung'oa na kurusha .Simba oyee!
 
Huyu jamaa sijui bifu zake atazimaliza Lin make naona anazidi kupasuka
 
Da kwa hiyo dogo kiba ndie ajielewi mkuu?!

Mchawi wa Kiba ni yeye mwenyewe sio mtu wa kusikiliza ,kujifunza na kufuata ushauri wa watu.Hii kick ya Diamond inambeba sana ndio maana hawezi acha.Jaribu kusikiliza interview za Kiba
1.Alihojiwa na Milard Ayo
2.Alihojiwa na Spora
3.Hiyo ya juzi ya Mambo mseto
Then tafuta za Diamond utagundua tatizo la Kiba
 
Salam apande pale au awe back stage wakati hausiki io ni ushoga alafu salaam anataka kujifanya manager wa wizkid tena ha ha ha ha kwa kweli hii ni kali
hebu msome tena salaam maana nahisi hujamuelewa kbisaa.sjui ulikua na haraka ya nini ya kucomment??!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] JF bwana! Anyways tumsamehe kijana wetu kiba jamani, sio mtu wamajigambo, hana maringo, hana show off, ana vingi ila hapendi kuvionesha, bottom line ana roho nzuri sana heheh.

Ila nimeshindwa kushangaa kwanini ameshindwa kuficha chuki ya wazi, watu wote waliokuwa back stage kamuona mendez na kuamua kumzungumzia vibaya. Hili bifu hewa linafaida nyingi kwa kiba, mi naomba liendelee.
Ni kweli kwenye hili ALIKIBA anapata faida sana kuliko Diamond na ndio maana hata kwenye vurugu Diamond ndio huathirika sana,nilifurahi alipo ingia mkataba na Vodacom kwani fiesta hatoonekana kwani najua ambacho kingetokea kisingekuwa kizuri kabisa.

Alikiba ana chuki sana na ana dharau na anayo yaongea ni tofauti na anayo yatenda kabisa,,,sasa kwenye hili naona kaamua kuongeza kabisa na kupalilia ugomvi kabisa bila sababu ili Diamond azidi kuchukiwa na mashabiki wake...
Mimi toka jana najiuliza hivi Salam ni fundi mitambo au mhandisi wa sauti? Kama Salam ndiye aliyemzimia mic baada ya hapo mic iliwasha na yeye kuendelea kuperform? Salam alikuwa peke yake kule back stage....Mimi nafikiri hata kama anafanya haya kuvuta biashara yake anapo kwenda siko maana anamjengea chuki mbaya sana Diamond na Salam kwa mashabiki wake...
 
Nadhani Ali Kiba ana matatizo ya akili.
Au amefikia climax point....
No Ali Kiba hajafika mwisho, bado kijana mdogo ana nafasi nzuri ya kufanya vizuri, kitu kikubwa cha kumshauri ni kwamba aache majivuno na chuki za kijinga, nampenda Diamond he is a Realman, Ali kuna wakati huwezi kumuelewa, Haifai mwanaume kuwa na jealous sana.
 
Kwa roho mbaya ya uyu kibakuli nashindwaga kumuelewa anaswali nini asije kua anatumia dini kama mwamvuli kijitu kina roho ngumu kakipiga picha kanaonekana kabisa kanachuki dogo anaamini sana ushirikina wakati kutwa anaswali, husda ni uchafu wa roho utazeeka kabla ya umri wako dogo,
unaonaga wivu kumbe wakenya wanavo mpenda diamond wanampokea kwa shangwe kama Rais we mwenzetu unaendaga usiku kimya kimya eti surprise[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mchawi wa Kiba ni yeye mwenyewe sio mtu wa kusikiliza ,kujifunza na kufuata ushauri wa watu.Hii kick ya Diamond inambeba sana ndio maana hawezi acha.Jaribu kusikiliza interview za Kiba
1.Alihojiwa na Milard Ayo
2.Alihojiwa na Spora
3.Hiyo ya juzi ya Mambo mseto
Then tafuta za Diamond utagundua tatizo la Kiba
Kiba ananufaika na hii bifu lakini anapitiliza sasa huu si uungwana...
 
1.
pia upande wa kiba kutaka wizkid aanze yy afuate ni sahihi kutokana na mazingira kiba mombasa ni km nyumban so anakubalika sn na anafahamika sn zaid ya wizkid hata km show ingefanyk nigeria lzm kiba apande afu wizkid afuate sasa nyie mnazan km kila siku ww ndo unatolewa jamvi la kusafisha stage mda mwngn lzm ukatae il uinue hadhi yk naomba aman kwa timu hiz jaman tunajiaaibisha kila siku


2.
Jana niliona report kua TZ inawatu weng vichaa

MAY BE KIBAKULI NIMIONGONI

maana mtu timamu hawez sema vile atakama waogopa vip


Wataalamu naomba mnisaidie mambo mawili

1.Ni sheria kwa wizkad kupanda kabla ya Kiba, na ikiwa vice versa ina impact gani kwa Kiba? Nini utaratibu?

2.Nini maana ya kibakuli?
 
Naona comment nyingi ni za ki team na sio positive nilitegemea kuwa watu mngetoa ushauri unaojenga ili kufanya wasanii wetu warekebishe pale palipo na tatizo but naona ni discouragement zaidi. Kiba amekosea kama wasanii wengine ambavyo hufanya kwani hata Mondi kuna fiesta moja iliwahi fanyika humu nchini na kalalamika kuwa kafanyiwa ushirikina baada ya kuona washabiki hawa respond vizuri.
Sasa mkuu na wewe hapo umeshauri nini?au ndio umepita mulemule
 
Kiba inabidi akue sasa.Bifu za kijinga hazina nafac kwa sasa.Anatakiwa a relax afanye mziki wake bila kuangalia mondi kafanya nini.
 
Huyu kiba nikimuita bushman mjue ni kwa ungese kama huu...... Anakus na mambo ya kina ndi ndi ndi yori ndiiii, kwa style hizi ndio asahau kuja hata kumkaribia chibu
 
Back
Top Bottom