Sallam aeleza ukweli wa tukio la show Mombasa

Mkuu weka timu pembeni imagine ungekuwa ni ww cha muhimu sallam ameclarify baasi kiba naye awe muungwana kuelewa na kuomba radhi au unaniambiaje mdau
Haaahahj nyie sindio mlikua mnatukana salaam kua n mchawi? Leo hii salam katoa ukweli sasa yaishe si ndio hahaha jama team kiba
Alikiba anatakiw ajikubal kua yeye n msanii mkubwa aache kulalamika inapotea ttzo halafu anajisikia sana alikiba
 
Sijapendezwa na alichokifanya Sallam,angemfungulia kesi ya madai na angeshindwa kudhitisha madai yake basi angelipa pesa nyingi ambayo ingemuuma na ingemfanya awe makini na matamshi yake siku nyingine, lakini hapo ni kama alitaka kiki na ameipata.
Salaam ameamua kumuumbua kbsa alikiba hahahaha alikiba ana matatzo jokate amepata bogus
 
Naona comment nyingi ni za ki team na sio positive nilitegemea kuwa watu mngetoa ushauri unaojenga ili kufanya wasanii wetu warekebishe pale palipo na tatizo but naona ni discouragement zaidi. Kiba amekosea kama wasanii wengine ambavyo hufanya kwani hata Mondi kuna fiesta moja iliwahi fanyika humu nchini na kalalamika kuwa kafanyiwa ushirikina baada ya kuona washabiki hawa respond vizuri.
 
Kwakwel kiba amenisikitsha sana ..kwanzs unachelewa kufika stejini, alafu unajiona mkubwa mbele ya wizkid ambae kiukwel hamna na la kupinga ni msanii mkubwa na wa kimataifa ndo mana ni kat ya wanamuziki wenye utajir mkubwa lakin alipokuja bongo kama mlivoona alijishusha sana hata kutaka kukaa na wasanii wetu wa hapa nyumbani japo alikua anazuiwa zuiwa lakini alijitahidi kukaa karibu yao na zaid alikua anasema yeye japo ni msanii mkubwa lakin hajatosheka bado anataka ajijenge zaidi...lakini huyu mbongo mwenzetu bwana tayari anaona kashafika aise..
 
HAHAHAHAHAH umenipasua mbavu...duuu jf raha tupu cc Evelyn Salt binti kiziwi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] JF bwana! Anyways tumsamehe kijana wetu kiba jamani, sio mtu wamajigambo, hana maringo, hana show off, ana vingi ila hapendi kuvionesha, bottom line ana roho nzuri sana heheh.

Ila nimeshindwa kushangaa kwanini ameshindwa kuficha chuki ya wazi, watu wote waliokuwa back stage kamuona mendez na kuamua kumzungumzia vibaya. Hili bifu hewa linafaida nyingi kwa kiba, mi naomba liendelee.
 
Tuwekee angalau ka clip tupate chakusema basi. Au unadhani sote tumechelewa kuja mjini.
 
Sijapendezwa na alichokifanya Sallam,angemfungulia kesi ya madai na angeshindwa kudhitisha madai yake basi angelipa pesa nyingi ambayo ingemuuma na ingemfanya awe makini na matamshi yake siku nyingine, lakini hapo ni kama alitaka kiki na ameipata.
Nimekusoma mkuu lakin pengine alifikiria hilo akaona atapoteza mda wake kwenye mambo ya kesi ukizingatia ni meneja na ana ratiba zinazobana kama meneja wa msanii mkubwa kama diamond
 
Kiba kafanya kosa imedhihirisha bado bifu za ki team zp lkn nadhan kuna kitu cha siri hp kimefichika haiwezekn kila siku kiba awe ni kumlalamikia mondi tu hebu wajaribu kumaliza mgogoro wao km kuna mtu anatumia nyota ya mwenzake bc aache ili gemu iendelee pia upande wa kiba kutaka wizkid aanze yy afuate ni sahihi kutokana na mazingira kiba mombasa ni km nyumban so anakubalika sn na anafahamika sn zaid ya wizkid hata km show ingefanyk nigeria lzm kiba apande afu wizkid afuate sasa nyie mnazan km kila siku ww ndo unatolewa jamvi la kusafisha stage mda mwngn lzm ukatae il uinue hadhi yk naomba aman kwa timu hiz jaman tunajiaaibisha kila siku
 
Kiba ni muhimu aombe radhi washabiki wote,pia atafute meneja atakae simamia shughuli zake na awe anamfundisha ya kuongea,kwani ana kiwewe cha u super star,
 
Salam apande pale au awe back stage wakati hausiki io ni ushoga alafu salaam anataka kujifanya manager wa wizkid tena ha ha ha ha kwa kweli hii ni kali
 

Tatizo Kiba kila siku anakosea na hana dalili za kubadilika
 
Kiba ni muhimu aombe radhi washabiki wote,pia atafute meneja atakae simamia shughuli zake na awe anamfundisha ya kuongea,kwani ana kiwewe cha u super star,

Tatizo sio manager tatizo ni Kiba mwenyewe,management ya Kiba ndio ya JayDee na Baraka.Umewahi kusikia huo upuuzi toka kwao ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…