Sallam athibitisha Harmonize kujiondoa WCB

Duuh kama ndio hivi bora ajitoe kwnye iyo ndoa haramu
 
Dua la kuku........... kwani mtu akikua c anaondoka kwa wazazi wake mbona mmemuwekea kinyongo au lebo ndo inamtegemea yeye akiondoka kuna mkwaja utakata???
Kwa hiyo unafananisha kukua kwa wazazi na kukua kimziki?
 
Kesheshe NI paleee pa kuvunja mkataba. Masharti yako vipi. Je? Waliomshawishi wataweza kumpa Kila kitu Kama WCB.? Walinzi. Kutafuta shoo kulabo za njee. VIZA za USA na UK kiraisi Kama zamani.... Matangazo bila yamtonyo
 
Hakika mkuu! Macho yetu
 
Ushasema kwako ndo bora sasa wataka kutuaminisha tumuamini wakati tunamuona anachokifanya ni bure na anatumia mbeleko ya WCB.

Wasanii WCB ni Mondi,Harmonize na Rayvanny waliobaki bado sana ndo wanajaribu kuingia.
 
TumtAkie heri tu.. No fighting.
 
nani aliyemfanya apate hicho kiduchu ?
hivi mmesahau mmakonde alikua house girl wa domo ?
Ni Sawa na pia si kigezo cha kuendelea kupata hiko kiduchu mwache akajaribu pengine maadam ameondoka vizuri atarudi tu kuomba kuingia tena au akamwombe hata Vanessa Mdee au Nandy kushirikiana nao
 
Umehitimisha vibaya mkuu
Maamuzi ni yake kwani kuna wasanii wengi duniani huwa wanajitoa na kufanya kazi na wengine
Pia kuna wengine huwa wanaamua kuwa peke yao kama kina Leonel Richie na Erick Clapton au Phil Collins na kufanikiwa zaidi
 
Dua la kuku........... kwani mtu akikua c anaondoka kwa wazazi wake mbona mmemuwekea kinyongo au lebo ndo inamtegemea yeye akiondoka kuna mkwaja utakata???
Mambo yakiwa magumu anaruhusiwa kurudi?
 
nani aliyemfanya apate hicho kiduchu ?
hivi mmesahau mmakonde alikua house girl wa domo ?
Wabongo wakipata wasahau ulikowatoa
N kama kumsomesha mwanamke
 
Amenikumbusha tekno aliacha mtengenezea ngoma davido akaamua kuingia front kuimba ......leo hii ni historia
Yani watu wanashindwa kujifunza kulingana na makosa
 
Ni wakati wa Konde boy kula kwa jasho lake,

Kila jema limtangulie In Shaa Allah/
Anatakiwa kupigana sana hakuna mtelezo tena,

Kutofanya vizuri kwa project yake na Chilla aichukue kama tahadhal ya kilichopo mbele yake.
Mzee baba m cina upande Lkn huwa waswahili wana sema dalili ya mvua n mawingu km anaweza kujisimamia mwenyewe sio mbaya Lkn inabid acheze na upepo
 
Harmonize anaenda kupotea kwenye game soon, amini usiamini
 
Kama mtu humjui ucjifanye unamjua sana,kwa kigezo gani mpaka uniite dogo! Anyway yatakuwa sio makosa yako na kama nisingekuwa naijua nisingeandika nilichoandika!
Yo still a little popy on this dude , take some pills.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…