pale wasafi kuna watu watatu au unaweza kuuita utatu mtakatifu, ambao ni sallam, babu tale na saidi fella.
ukiondoa ushirikina wao, fitna na propaganda zao ambazo kwa mda mrefu wamekuwa wakizitumia ku monopolize music industry ya tanzania, kazi nyingine kubwa pale wasafi ni kujineemesha kwa kupitia wasanii walio chini ya lebel ya wasafi.
unakuta kwa mfano malipo ya show moja ya rayvanny, hao wote watatu kila mmoja ana parcent yake na hajaitolea jasho. nampongeza sana harmonize kwa kuachana na hao wapuuzi watatu. na ninamsifu kwa ku sign chini ya jembe jembe.
najua sallam na wapuuzi wenzie hawatakubali kushindwa kirahisi, lazima watajiribu kutaka kumvurigia deal lake la harmonize ila hawataweza maana jamaa pia ni born town, ana connection kubwa na pesa ya kula anayo.
hawa wapuuzi watatu kiboko yao alikuwa marehemu ruge mutahaba the master minder. rest in peace ruge.