Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,497
- 16,180
bila kusahau nanjilinji, nakapanya, miguruwe n.kAtakamata soko la Lindi, Mtwara, Masasi mpaka Nachingwea yote. Nangumene wote lazima wampe support wa nyumbani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bila kusahau nanjilinji, nakapanya, miguruwe n.kAtakamata soko la Lindi, Mtwara, Masasi mpaka Nachingwea yote. Nangumene wote lazima wampe support wa nyumbani.
Time will tell atarudi kuwalaumu Wasafi ndio wanamkwamisha.. Hamo hana talent ya kusimama nje ya Wasafi evidence project yake na Q chilla imeangukia pua pamoja na mkwanja mrefu alioweka
Katika kitu Harmonize amefanya kikubwa katika maisha yake ni kuingia WCB na kizuri kikubwa zaidi nI kutoka WCB naamin ameshapata platform ya mashabiki wa kutosha ni vema sasa aishi maisha yake sio kusindikiza tena kuna mtu hapo amesema kwamba kama4 Diamond anakatwa 30% ya show inaingia kwa hao mameneja yeye ni nani asikatwe hiyo % lakin mimi naona huo ni ujinga mkubwa sana yaani manager watatu wachukue 30% bado manager wake nae achukue bado nyingine ibaki kwa kampuni cmon! Labda kama show inalipa 100m but hamna show ya namna hiyo na kijana hapo ndio akaanze kufanya maisha sasa ya uhalisia wala asikatishwe tamaa na hawa washabiki wa WCB maana kama Jux anaishi hayupo wcb, Aslay anaishi maisha mazuri tu yeye kwa nini ang'ang'ane na maisha ya kishowoff platform aliyonayo inamtosha kutoboa kimaisha ukipata chochote sasa ni cha kwake hakuna kugawana sijui na manager watatu wala wcb namuonea huruma tu Rayvan bado hajapata akili ya maisha ila kama akifumbuliwa macho ndio ataelewa ila abaki kwanza atengeneze jina na akili ipanuke
mikataba ya kichifu kimangungo. nilishawahi kuratibu event moja ambayo tulimualika mbosso kuja ku perform. dogo alijituma sana stejini mpaka akakaukiwa sauti.Duuh kama ndio hivi bora ajitoe kwnye iyo ndoa haramu
Kuna interview Fela alishasemaga kila show wanayopiga wanagawana hao woteM Sizan km iko hivyo kwa sababu mkurugenzi mkuu wa kampun ni yeye diamond ana mameneja wa tatu na kl msanii anameneja wake kwaiyo wcb cio ya fela au salamu wote wanategemea mshahara kutoka kwa mond Ndiyo ambae wana mmeneji
Acheni ramli wakuukweli mzee..wcb ndo ilikua kila kitu kwake sasa amenyea kambi atakua kama mavoko
halafu mbaya media zingine pia haziivi sa cjui nae atafungu radio na tv
jembe ni jembe hawezi kuangushwa na hao wavuta bangi kamwepale wasafi kuna watu watatu au unaweza kuuita utatu mtakatifu, ambao ni sallam, babu tale na saidi fella.
ukiondoa tabia yao ya ushirikina, fitna na propaganda zao ambazo kwa mda mrefu wamekuwa wakizitumia ku monopolize soko la mziki tanzania, kazi nyingine kubwa pale wasafi ni kujineemesha kwa kupitia wasanii walio chini ya lebel ya wasafi.
unakuta kwa mfano malipo ya show moja ya rayvanny, hao wote watatu kila mmoja ana parcent yake na hajaitolea jasho. nampongeza sana harmonize kwa kuachana na hao wapuuzi watatu. na ninamsifu kwa ku sign chini ya sebastian ndege "jembe ni jembe".
najua sallam na wapuuzi wenzie hawatakubali kushindwa kirahisi, lazima watajiribu kutumia uzoefu wao kumuangusha jembe ni jembe katika biashara yake na harmonize kwenye masuala ya burudani. ila hawataweza maana jamaa pia ni born town, ana connection kubwa na pesa ya kula anayo.
hawa wapuuzi watatu kiboko yao alikuwa marehemu ruge mutahaba the master minder. rest in peace ruge.
Very true, sasa ile machinery iliyokuwa ikiusukuma muziki wake ndiyo ataikosa.Na awashukuru sana WCB kwa kuwekeza pesa nyingi kwake vinginevyo yangekuwa yaleyale ya BSS.
pia jamaaa ni mbunifu sanaNo situation is parmanent. Namuona Harmonise akienda kuwa mwanamziki mwenye mafanikio na historia kubwa.
Ana jiamini, ni jasiri, ana utayari.
Kamwe huwezi kuyafikia mafanikio makubwa ya leo kama hutakuwa na hutafanya tofauti na jana.
mama ako akimujua inatoshaebu tupieni pcha yake, wengine hata hatumjui huyo harmonize...
rayvan ni mburula yeye pamoja na demu wakeRayvan huyu huyu ambae baby mama wake alituambia wanatumia mil. 9 kwa photoshoot?
Eti Hamo mkubwa,since when? Hata Mavoko ilisemwa hivyo hivyo kwamba kajishusha kaenda WCB wanamfanyia fitna asimpite Diamond kiwango sasa sijui nini kimemsibu manake afadhali alivyokuwa WCB alionekana kuanza kung'ara lakini sasa kapotea jumla.Mafahali wawili hawakai zizi moja! Hamo na Mond wote wakubwa
jibu hoja stress za kukosa Choo kwenu sizitusumbueNgedere wewe
Ruge na Kusaga si ndio walewale!? Acha kuchekesha.pale wasafi kuna watu watatu au unaweza kuuita utatu mtakatifu, ambao ni sallam, babu tale na saidi fella.
ukiondoa tabia yao ya ushirikina, fitna na propaganda zao ambazo kwa mda mrefu wamekuwa wakizitumia ku monopolize soko la mziki tanzania, kazi nyingine kubwa pale wasafi ni kujineemesha kwa kupitia wasanii walio chini ya lebel ya wasafi.
unakuta kwa mfano malipo ya show moja ya rayvanny, hao wote watatu kila mmoja ana parcent yake na hajaitolea jasho. nampongeza sana harmonize kwa kuachana na hao wapuuzi watatu. na ninamsifu kwa ku sign chini ya sebastian ndege "jembe ni jembe".
najua sallam na wapuuzi wenzie hawatakubali kushindwa kirahisi, lazima watajiribu kutumia uzoefu wao kumuangusha jembe ni jembe katika biashara yake na harmonize kwenye masuala ya burudani. ila hawataweza maana jamaa pia ni born town, ana connection kubwa na pesa ya kula anayo.
hawa wapuuzi watatu kiboko yao alikuwa marehemu ruge mutahaba the master minder. rest in peace ruge.
At least wewe umeandika kitu chenye sense, kuenda tena kuwa chini ya mtu sidhani kama ni move nzuri.Wabongo ndomana hatuendelei, wenzetu mwanamuziki unaweza kua ndani ya label hadi 3 tofauti. Kwa uwezo alionao harmo sio mtu wa kua chini ya jembe, Harmo alitakiwa awe na label yake binafsi huku analegeza terms na wasafi. Eminem yupo na label 4 tofauti, yupo na Dre, yupo na 50, yupo label yake binafsi ( shady ) pia yupo label ya kjijini kwao Detroit. Harmo angeanzisha label yake huku anaendelea kufanya kazi na wasafi. Muziki mgumu sana ukiukosea, harmo anaweza kuajiri hata vijana watano wenye njaa wakamsaidia shows na kuikuza label, lakini mbongo ni mbongo tu. Jembe ni Jembe hawezi kukubali kupata hasara, miaka 2 mingi watapigana chini. Asingetoka wasafi, angebadilisha terms tu halafu akafungua label yake ili afanye anavyotaka yeye bila kubugudhiwa na mtu.
Af watu hamjui uzito wa LEBEL mfano KANYE WEST na mipesa yake yote ile lakini yupo chini ya Jay Z na halalamiki na anakatwa asilimia flani kama kawaida.
Hata ile aliyofanya na Country boy naona imefeli pia.Ni wakati wa Konde boy kula kwa jasho lake,
Kila jema limtangulie In Shaa Allah/
Anatakiwa kupigana sana hakuna mtelezo tena,
Kutofanya vizuri kwa project yake na Chilla aichukue kama tahadhal ya kilichopo mbele yake.