mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Ally kina ndo Nani [emoji849]
Kaka yake Bakhressa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ally kina ndo Nani [emoji849]
Wanakwambia 'Minding your own business is sometimes boring'.Hivi mpaka Leo Kuna watu Wana muda wa kufuatilia Mambo ya watu wengine.... Mambo ambayo hayawaongezei chochote Cha maana katika maisha yao. Dahh!!! Very Sad.
Mpaka ume comment hapa si ina maana umefuatilia?Hivi mpaka Leo Kuna watu Wana muda wa kufuatilia Mambo ya watu wengine.... Mambo ambayo hayawaongezei chochote Cha maana katika maisha yao. Dahh!!! Very Sad.
Anaekwambia Nawaongelea kwa ubaya ni nani?Kuna yeyote pale WCB ulishawahi kumwongelea kwa uzuri?
Kwanza huyu Meneja uchwara ni Mkuda Kila aliyeondoka pale WCB anamuongelea Jamaa kwa Ubaya hakuna aliyewai kumuongelea kwa Uzuri
Ninachokukubali hukosekani kwa habari za WCB japokuwa unawachukia.Kwanza huyu Meneja uchwara ni Mkuda Kila aliyeondoka pale WCB anamuongelea Jamaa kwa Ubaya hakuna aliyewai kumuongelea kwa Uzuri
Anaekwambia Nawaongelea kwa ubaya ni nani?
Mkuu Mimi Simchukii mtuNinachokukubali hukosekani kwa habari za WCB japokuwa unawachukia.
Hivi ile Alikibatv ipo channel namba ngapi DSTV.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu Niwaongelee Vizuri kwa Lipi Zuri? Mimi nachangia kutokana na mada iliyopo, sasa kama hakuna mada ya kuwasifia ni lazimishe, mimi siyo mtu wa kusifu na kuabudu kwa mapambio..Jibu rahisi ungenionesha post ambayo umewahi kuwaongelea vizuri.
Ila hapo hujanijibu.
Mbona hatujatangaziwa na serikali?!
Mkuu Niwaongelee Vizuri kwa Lipi Zuri? Mimi nachangia kutokana na mada iliyopo, sasa kama hakuna mada ya kuwasifia ni lazimishe, mimi siyo mtu wa kusifu na kuabudu kwa mapambio..
Juzi nimeleta mada kuhusu wasanii waliochini ya Lebo ya wcb kutokua na mashabiki mkala kona
We mwenyewe kusoma hii habari tuu Huna tofauti na mtoa mada , jisikitikie na ww piaHivi mpaka Leo Kuna watu Wana muda wa kufuatilia Mambo ya watu wengine.... Mambo ambayo hayawaongezei chochote Cha maana katika maisha yao. Dahh!!! Very Sad.
[emoji2][emoji2][emoji2]
Namshangaa alivyo Mjinga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu hajitambuiMpaka ume comment hapa si ina maana umefuatilia?
Ahaa ila si shangai unajificha kwenye shamba la mchicha unazani hatukuoni.Mkuu Mimi Simchukii mtu
Hiyo ya kibatv aulizwe aliyeleta habari